Habari za leo wadau!
Natafuta wateja wa chumvi(un processed) nimevuna zaidi ya tani2.....kwa anae hitaji au anae jua wapi naweza pata soko naomba michango yenu wadau.
Wakuu,
Kuna mtu yupo kijijini anahitaji matairi ya magari yaliyotumika lakini sio makukuu kwa ajili ya kutengenezea mikokoteni. Ameniambia size 16. Kwa hiyo naulizia upatikanaji wake hapa mjini...
Habari wanajukwaa napata hiz machine kwa bei gani? Kama kuna mtu anajua bei zake anijuze, Multpurpose coppier, Scaner, Printer, Lamination and Binding.
Ninampango wa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji kwenye eneo la ekari kumi kuanzia 2013. Sehemu nitakayochimba kisima haina umeme nategemea kutumia solar kuvuta maji chini ya ardhi. Mazao ya...
Salaaaam...
naomba ushauri, nataka kuanzisha kampuni ya kuandaa,kutengeneza na kusambaza kazi za muziki/sherehe/matukio/documentaries n.k kwa hatua maana sina uzoefu wa kazi hii.
hatua tya kwanza...
Wadau JF Heshima mbele,
Naomba mwenye uzoefu wa biashara ya mazao toka mikoani mahindi,mpunga,kunde,alizeti!anisaidie nafanya utafiti nami niingie humo!naomba mwongozo wadau!
Wasalam wana jf.
Niombeni mwenye kuku wa kienyeji ambao hawajachanganywa(cross breeding) nawahitaji kwa ajili ya kuwafunga na pia majogoo 3 makubwa.
sifa:
1: Wawe awajataga ila wako karibu na...
Wakuu,
Kuna mtu anajua sehemu inapopatikana miguu ya kuku "fresh"(iwe kienyeji au wa kisasa) kama tani 1-2 kwa wiki?Au kuna mtu wa ku-supply hii order kwa wiki,ntaomba na bei yake kwa tani...
Chukua haya matatu kutoka kwake!
1."Listen to your guts no matter how good something sounds on paper"
2."You are generally better off sticking with what you know"
3."Sometimes your best...
habari wana jamvi!
Naombeni ushauri juu ha huu ujasiriamali ninaotarajia kuingia,ushauri wenyewe ni juu ya ethics mbalimbali juu ya kuwa MC,
Kwasababu ninalengo la kumiliki na vyombo yaani mziki...
Wakuu habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa chuo. Kwa sasa nipo hapa Dar-es-salaam. Nina Biashara ya bodaboda na nimeifanya kwa muda wa miezi mitatu sasa. Nahitaji kuongeza ya pili, binafsi nina...
Habar zenu wanajamvi.?
Nimefikiria biashara ya kusafirsha ndizi kutoka mbeya kuleta dar hivyo nilikuwa naomba ushaur toka kwa wazoefu ktk mambo yafuatayo: mkungu mmoja mbeya unauzwaje? Gharama ya...
wadau katika harakati za kuchunguza biashara ya kuanzisha na haka kamtaji kangu kadogo,nimekutana na wazo la kusafirisha mabanzi kutoka mafinga iringa kupeleka dar au dodoma,nimechagua mikoa hii...