Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari wana jf mm ni kijana ambae nimekua nikifuatilia mishe mishe za mjini ambazo nikifanya naweza kutoka kimaisha mara moja nimekagua kila aina ya dili za hapa mjini na vilimo huko vijijini ila...
17 Reactions
173 Replies
51K Views
Ndugu, katika pitapita kwenye magroup ya wahangaikaji, nimekuta mtu anasema kilimo cha parachichi (aina ya fuerte) kinastawi Wilaya ya Urambo Tabora...Vipi kuna ukweli?? asante
0 Reactions
2 Replies
335 Views
Kuna matajiri wakubwa Tanzania ambao utajiri wao waliupatia kwenye kilimo. Kuna ambao ni wakulima matajiri wanaoendelea na kilimo mpaka sasa. Na kuna matajiri walioamua kuingia kwenye kilimo...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Wadau nipo kwa niaba. Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic...
15 Reactions
150 Replies
11K Views
Kwa hivi sasa bei ya mahindi maeneo mengi imeporomoka sana, kule Tarime naambiwa gunia la mahindi la kg 108 linauzwa 35,000/-, kwa hali hii ya mkulima itaendelea kuwa duni miaka yote.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu kwa wale wafugaji wa kuku wa kisasa aina ya layers yaani kuku wa mayai wale wanaotaga, nahitaji mbolea ya kuku wa aina hiyo. Itapendeza vizuri iwe ni kwa wale wanao fugiwa chini. Yeyote...
0 Reactions
10 Replies
721 Views
Habari zenu wadau Katika kutafuta maisha nmeamua kuanza ufugaji wa ngombe wa maziwa lakini sasa kupata pure breed anayetoa angalau 25 litres per day imekuwa changamoto. Nimeshapigwa mara 2...
2 Reactions
56 Replies
8K Views
Habarini wanajamvi bila shaka mko poa kabisa. Natamani kufahamu zaidi kutoka kwa watu wenye uzoefu wa vilimo vya mazao tajwa hapo juu(parachichi na korosho).wataalamu wa uchumi wa kilimo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nataka kupanda miche kama kumi hivi ya miparachichi nyumbani. Naomba ushauri wa kitaalam ili inipe matokeo bora je ni aina gani ya mbegu nitumie kwa ajili tu ya parachichi bora ya kula nyumbani...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mipapai yangu inazaa lakini vipapai vinadondoka vikiwa vichanga naomba kujua kama ni ugonjwa au ni ukosefu wa madini gani?
1 Reactions
5 Replies
324 Views
Wakuu nipo mkoa Fulani huku Kanda ya ziwa, nimelima mazao hekari 10. Nne za mahindi na 6 za mpunga Kati ya hekari 4 za mahindi hekari 2 na nusu ziko vizuri na mbolea niliwekea so sasa hivi...
1 Reactions
3 Replies
340 Views
Zingatia Mambo Haya Ili Kuhakikisha Unakuwa Na Shamba Lenye Miti Yenye Afya Na Mavuno Mengi. Kwa Wakulima wa Matunda Wa Muda Mrefu na wapya watakuwa mashahidi kuwa ili Shamba liwe na Mavuno Bora...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu mmea nimekuta sehem umejitenga na mimea mingine, Sijapata kuliona pahala popote. Kwa anayejua
1 Reactions
5 Replies
473 Views
Wadau na watalaamu wa kilimo cha nyanya hali ya mvua inatishia kwa uzalishaji wa nyanya tupeane mbinu mbalimbali za kupambana na hali iih ni sumu gani zinafaa kupuliza? Natanguliza shukurani
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Shamba linauzwa, linaukubwa wa ekari 20, umeme upo kijijini ni jirani na shamba. Ekari moja ni 500,000/ Kwa maelezo zaidi 0716548250
2 Reactions
3 Replies
697 Views
Mwaka 2023 umekua mwaka wa neema kwa wafugaji, mwaka wa maji mengi na malisho mengi tofauti na mwaka 2022 ambapo ng'ombe wengi walikufa.Gazeti la Mwananchi la Jan.16,2022 liliandika kuwa Ng'ombe...
7 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimepanda mahindi mwezi November 2023 maeneo ya mkuranga mbegu ya pioneer sasa yamefikia hatua ya kubeba(yana miezi miwili) ila yamepata tatizo lakunyauka majani kuanzia chini kuja...
0 Reactions
3 Replies
479 Views
Watalaamu, naomba utofauti wa shade house na green house, ipi ina faida kuioperate.
0 Reactions
3 Replies
368 Views
Habari wakuu.... Natamani nianze rasmi kilimo hiki, naomba ushauri kuhusu masoko na bei zake huwa zikoje huko masokoni..... Niko Morogoro mjini. Karibuni.
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Sasa ni muda muafaka kwa vijana kuingia kwenye kilimo. Najua vijijini gharama za kilimo huwa chini, unaweza kubahatisha mashamba yenye rutuba na yanakodishwa kwa bei nafuu. Na pia katika...
15 Reactions
104 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…