Kama kichwa kinavyosema mwaka huu nataka kuanza kufuga ng'ombe wa maziwa je wataalamu naomba msaaada wa changamoto na wenye uzoefu na kila kitu kinachohusu ufugaji huuu asante
Habari zenu wapendwa,
Baada ya kushawishika na upandaji mbogamboga katik mazingira ya nyumbani, nimejaribu mboga kadha wa kadha nimeweza ila hohoho zinanishinda kuanzia kitalu,nimefanya attempts...
Nawasalimu kwa jina la aliye juu wakulima wenzangu.
Nasimama hapa kutangaza rasmi kwamba 2023 nitafia shambani. Nimejiridha pasipo na shaka kwamba mali utaipata shambani.
Kwa hiyo 2022...
Hello members
Aisee kuna fursa pia ufugaji wa wanyama pori ila fursa hii ni mahsusi kwa wenye mitaji mikubwa (ujenzi wa miundombinu)
Mathalani kufuga viboko : kiboko wakati wa kumchinja kama...
Habari wakuu
Nimefungua duka la kuuza mayai ya kisasa, nimegundua mayai yanahitajika sana maana mzigo unatoka mno, ila tatizo upatikanaji umekua changamoto, Tanzania tuna wafugaji wachache sana...
Ni tunda zuri sana kwa upande wa bei. Linauzwa ghali.
Japo yanapatikana kwenye masupermarket makubwa, hayalimwi Tanzania. Yanaagizwa toka nchi za nje.
Wakenya wameshaanza kulima kiwi. Miongoni...
Wakuu naomba mtu mwenye ujuzi nazo anisaidie. Nataka kujua pump yenye uwezo wa kuvuta maji kina cha mita 10 na kumwagilia ekari mbili inaweza kugharimu kiasi gani? Pia nilitaka kujua kama kilimo...
Wakoloni ambao ndio wazungu leo hii, waligawanya maeneo kulingana na hali ya hewa na walijikita kulima kitu ambacho eneo hilo kinafaa hawakutaka kuchanganya changanya mazao.
Mfano Maeneo ya...