Salaam kwenu wapendwa,
Mimi ni mkulima wa mazao ya nyanya na viazi mviringo.
Kuna ugonjwa ambao unanitesa sana shambani kwangu na kwa wengine pia ugonjwa wenyewe ni mmea kunyauka pindi tu...
Baada ya kumaliza kula michembe na maziwa nimekaa zangu kwenye duka la Muha nikaona mdahalo unaoendelea muda huu kupitia TBC 1 ambapo wadau mbalimbali wanajadili masuala mbalimbali hususani...
Wakuu nawasalimu,
Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba...
Jinsi ya kutengeneza kiuadudu cha asili kwa kutumia mbegu za mti wa mwarobaini.
Okoa fedha na linda afya za walaji kwa kutumia viuadudu vya asili kudhibiti wadudu shambani kwako.
Fuata hatua...
Nina kuku wakubwa ambao nawatumia kama wazazi,pia nina vifaranga wa takriban miezi 3 na nusu,mara mwisho niliwapa chanjo ya kideri tar. 20.8.2023 na hapa kati nilikuwa na vifaranga wengine...
UFUNGUZI
Kutokana na teknolojia ya uchanganyaji wa vyakula kukua kwa kasi na kutuletea vyakula vyenye uwiano sahihi, kwa namna moja ama nyingine baadhi ya wafugaji wamekuwa wakilazimika kutumia...
Ndugu zangu awali nilileta uzi uliokuwa unasema Kilimo ni biashara pekee inayolipa 100%, wapo waliopinga na wapo walikubaliana nami, lengo la uzi nilikuwa nimewalenga hasa vijana waliomaliza vyuo...
Nimekuwa nafuatilia sana Mimea mingi ya asili na Matunda pia nikagundua matunda ya asili tunayo yadharau sisi na kukumbatia ya kigeni nifurusa kwa wenzetu huko nje,na ndio hizo walipropagate na...
Habari,
Kwasasa nipo mkoa X nafanya kazi pahala kwenye kampuni fulani. NAfikiria mwez wa 12 nitoe kama 500k ninunue mbuzi kama 5 huko Tabora kwa bibi yangu.
Namna ninayowaza ya kuwafuga ni...
Sifa Zinazopelekea Aina Hizi Za Embe Kuwa Bora Zaidi ya Nyingine Sokoni.
Kwa Kawaida Tunda La Embe linapendwa takribani na watu wote kwasababu ya ladha yake ya sukari/ Tamu.
Kwenye Biashara Aina...
Hbr za leo wapendwa,
Nauliza hvyo kwa sababu mm nimekula mweleka mara mbili bila kupata chochote.
2018 nilipeleka mbegu ivuna mkoa wa Songwe sijapata hata tunda Moja nikawa Kama nilitapeliwa...
Kwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea...
Kwenye Bible kuna maneno yana sema "Watu wangu wanaangami kwa kukosa maarifa" Binafisi huwa nakubaliana na hayo maneno kwa asilimia zote.
Opontia ni mmea kutoka katika familia ya cactus kama...
Horned Melon au Kiwano ni tunda ambalo asili yake hasa ni Africa, ingawa kwa sasa limesambaaa sana Dunia nzima ila mbegu zake walichukua Africa, Horned Melon inalimwa sana Asia, huko Australia na...
Button Mushroom, ni aina ya uyoga ambao ni ghar saba sokoni ukilinganisha na varieties zingine kama Oysters.Shida ni kwamba wazalishaji wanaiogopa hii aina kwa sababu nazani ya process zake za...
Yaani ukisikia kufikiria mpaka kufika kwenye bar ndo huku
Mwenzenu Nina heka nne za mahindi na Mungu kanisaidia mahindi yako vizuri natamani nipate mfuko mmoja wa MBOLEA nikuzie angalau hekta...
Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es...
Nimesia Kiwano meloni ingawa nilipata tunda moja ambalo ndio nimekamua mbegu, ila sio mbaya sana, na natarajia hadi mwakani mwezi wa 3 nifanye Market testing ya haya matunda kwenye baadhi ya Super...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.