Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Mfano; unalima VIAZI VITAMU sasa hivi target ni mauzo muda wa ramadhani na ndiyo mda wa kuvuna huo. Bei zinakuwaje? Gunia shiling ngapi? Nahitaji ya kulima yapoje?
2 Reactions
4 Replies
715 Views
Jamani naomba msaada ni mbolea zipi zinafaa kupandia mahindi na mbolea zipi zinafaa kukuzia mmea wa mahindi? Je, na mbolea ya urea ni mbolea ya kupandia au kukuzia?
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Sijui jina halisi la kitaalamu lakini suala lenyewe lipo hivi. Nikiwa mdogo nilishawahi kuona hii kitu kijijini, leo hii na mimi nataka nikafunge udongo kwenye tawi la miti ya milimao na...
4 Reactions
3 Replies
452 Views
Nyie vijana endeleeni kupiga majungu na uzandiki maskani sie vijana wenzenu tunaendelea kupiga maokoto kwenye kilimo just imagine kama mie naweza.kuingiza milioni 50 kwa mwaka wewe kijana...
15 Reactions
150 Replies
7K Views
Ndugu wanajanvi Salaam, Nahitaji mtu alie na shamba tushirikiane Mimi nitaweka nguvu zangu na usimamizi asilimia zote endapo yeye atakuwa na majukumu mengine. Lengo langu ni kupambana na kupata...
3 Reactions
5 Replies
557 Views
Ndugu zangu, mwaka jana July 2021 nilinunua mashine ya kusaga na kukoboa na kuifunga Tanga mwezi wa Septemba, 2021. Mchanganuo wa Vifaa:- 1. Mashine ya Kusaga Kinu size 75 - 1,200,000 Mortor...
26 Reactions
75 Replies
20K Views
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
SUKITA lilikuwa shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama. Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Wapendwa ndugu zangu, majirani, marafiki na familia ya wakulima wa mazao mbalimbali maeneo tofauti nchini,. Habari za kazi, majukumu na maandalizi ya msimu wetu pendwa wa kilimo? Nimewiwa...
0 Reactions
4 Replies
859 Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni mtaalam wa kilimo na ufugaji nimeupata ujuzi huu kutoka katika chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine Morogoro. Natafuta mtu ambaye anatamani kuwekeza katika kilimo cha...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wakuu, me ni mkulima mchanga ndo nimeanza kilimo, nina swali, hivi kuna dawa ya kuzuia mimea ya mahindi yasiliwe na wadudu yakiwa shamba au nisubir kama nitaona wadudu ndo nipulize dawa!?
0 Reactions
5 Replies
814 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na usimamizi wa fedha ujenzi wa miradi ya Umwagiliaji katika mashamba ya Taasisi ya Utafiti wa Mbegu (TARI) pamoja na Mashamba ya Wakala wa Mbegu...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Mageuzi ambayo yamekuwa yakifanywa na Serikali ya Rais Samia yamekifanya Kilimo kuwa sekta kimbilio na ya kuaminika. Ikumbukwe miaka michache Iliyopita Kilimo kilikuwa kinaonekana ni kazi ya...
1 Reactions
14 Replies
728 Views
Wadau naomba mnijuze kwa wenye uzoefu. Huwa nikienda magogoni ferry kwenye soko la samaki naona ni biashara ambayo hailali. Hebu mnijuze nikitaka kufanya biashara ya uvuvi baharini nini...
1 Reactions
22 Replies
10K Views
Habari za mids hii Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimepata link ya jamaa wa Mtwara anadai korosho zinanunuliwa 1000 kwa wakulima na kwenda kuuzwa 1900 kwenye maghala. Hii ni Fursa wakuu natafuta muwekezaji mmoja tu chapchap...
1 Reactions
17 Replies
891 Views
Ninataka mbegu na siyo miche. Mwaka huu nilinunua zaidi ya miche 50 lakini baada ya kuanza kuchanua maua, nimebaini mingi ni midume. Nimeamua kutafuta mbegu nisie mwenyewe. Ni wapi ninakoweza...
1 Reactions
8 Replies
431 Views
Watanzania ni bahati mbaya huwa tunapokea furusa mwishoni kabisa au hadi tuone kwenye TV au tutangaziwe na kiongozi. Matunda kama Dragon fruits ni moja ya matunda ambayo ni commercial na pia...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
1)Eneo shamba lilipo Kabla hujaanza kulima zao lolote, hebu kwanza angalia mahala shamba lako liipo. Je linafaa kwa kilimo au kulima zao ambalo unataka kulilima. Katika eneo lako hebu zingatia...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom