Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Nipo Karagwe Kagera. Nahitaji dawa ya magugu kwa ajili ya kupalilia mahindi. Nisaidiwe kuipata pamoja na bei yake.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
"Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Nianze kwa kumshukuru Mheshimiwa Rais. Tumetajiwa mabilioni ambayo yanakwenda kuwekezwa. Mradi unakwenda kuwekeza zaidi ya Shilingi Bilioni 15, ni...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Nna kashamba kangu nataka nikaandae kwa kilimo ila mule shambani kuna miti ya mikorosho km 20 hivi mikubwa na ya saiz ya kati,,mm nataka kuikata then niichome mkaa ss mtu wa chain saw ananambia ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari Wapendwa wa Jamii Forums Natafuta mkulima wa hizi tufanye biashara hii inaitwa English Cucumber kama inavyoonekeana hapa pichani. Kama naweza pata mtu tuwasiliane kwa namba hii 0684-753836
0 Reactions
10 Replies
986 Views
Habari, Kuna mtu mwenye kufuga paka wa kizungu? Tafadhari naomba tuwasiliane nahitaji mdogo kabisa mmoja. Shukran!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
KILIMO CHA MAHINDI YA KUCHOMA. Dhana ya kulima mahindi na kuyauza mabichi kwenye soko kabla hayajafikia hatua ya unga mgumu inajulikana kama kilimo cha mahindi ya kuchoma au uzalishaji wa mahindi...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Ni vitu gani nifanye samaki wasife? nakumbuka wakati wa udogo kila nikifuga samaki wanakufa sikua najua sababu ni nini? Wengine walisema ni maji ya bomba sababu yana chlorine basi tukawa tunabeba...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana kuhusu kuku wa kienyeji aina ya kuchi. Nimefanikiwa kuwapata kuku hawa, kwa wale wenye uzoefu na kuku hawa naomba mnisaidie je ni wenyewe...
2 Reactions
120 Replies
28K Views
Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alidhamiria kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwenye bonde la Bugwema lililoko Musoma Vijijini. Ujenzi wa miundombinu ya kilimo cha...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Habari wakuu, Mimi ni mdau wa kilimo na ni mtaalam wa horticulture kwa maana ya profession na uzoefu. Kilimo cha horticulture kinahusisha mboga (vegetables) matunda (fruits), viungo (spices) na...
11 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nina plan ya kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe, mbuzi na kuku wa kienyeji, Niko dodoma, nahitaji kijana mwamininfu mwenye taaluma ya mifugo at least certificate level, awe mvumilivu...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Tarehe ya leo, 14 Oktoba 2023, inatukumbusha mengi ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alitufanyia kwa lengo kuu la kuboresha uchumi na ustawi mzuri wa Taifa letu. Baba...
1 Reactions
2 Replies
484 Views
Wakuu poleni na hongereni na majukumu Nimepata wazo mahali ninapoishi nipande mipapai ya kisasa sasa nahitaji mtaalamu wa kilimo cha papai za kisasa tukubaliane(nitamlipa) aje kuangalia eneo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna haya mazao hapa Almonds Macadamia Cashew nuts Palm Nimeyafanyia utafiti sana na nimeona yana potential kubwa ya kutengeneza pesa. Embu naombeni mawazo wadau. Kuna amefanikiwa kulima hayo...
5 Reactions
7 Replies
849 Views
Nimeanza kulima serious toka mwaka 2019, nikilima mahindi na viazi vitamu ndani ya misimu mitatu yaani toka 2022 mpaka sasa nimeweza kutengeneza faida ya 30M kupitia kilimo cha mahindi, viazi...
27 Reactions
119 Replies
10K Views
Wakuu poleni na pilika za kutwa Hongereni sana kwa kumaliza siku salama, Naomba kuuliza ni wapi kuna mashamba ya bei rahisi yanayostawi kahawa na migomba? Ambayo hayana ukame sana natamani...
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Habari za Majukumu wakuu.... Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji... Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si...
0 Reactions
3 Replies
583 Views
Wakuu poleni na pilika za kutwa Hongereni sana kwa kumaliza siku salama, Naomba kuuliza ni wapi kuna mashamba ya bei rahisi yanayostawi kahawa na migomba? Ambayo hayana ukame sana natamani...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau salaamu! Noamba ushauri kuna fursa gani maeneo ya turiani (mvomero) hasa katiak upatikanaji wa mifugo hasa mbuzi, ngombe na nguruwe? Na pia fursa gani nyingine naweza kuwekeza huko na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii aina gani gani ya maharage na yanafanya vizuri sokoni dar Nimenunua kutoka kyela
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom