Wadau wa kilimo naomba kuuliza nimesoma komnti na maelezo watu waliondika kuhusu kilimo cha maparachichi za 2021.
Naomba kuuliza vip kwa miaka hii 2023 bado kilimo cha maparachichi kinalipa?
Je...
Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu
Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini?
Ni kuku wa kienyeji
Mwenye kujua Tiba yake ikiwa...
Dragon fruits ni moja ya matunda ghari sana Duniani, na yanalimwa sana Asia panoja na nchi kama USA,
Ni matunda ambayo ulimaji wake ni rahisi sana ila sijajua no kwa ni yanauzwa ghari sana.
Kwa...
Heshima zenu wakuu,
Nina penda sana kilimo cha herbs kama mint (mnanaa), basil (mrehani), rosemary, sage(mjuzi), citronella(kibelarusi), lemongrass (mchaichai), lemon balm (zeri ya limao) na...
"Dondoo muhimu za msimu wa mvua za Vuli; Oktoba - Disemba 2023"
Kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.
"Taarifa hii inatoa uchambuzi wa mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa na mwelekeo wa msimu wa...
Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea.
Altitude yake ni m800...
Tumezoea kupanda miche ya ndizi, unaweza kuinunua au kuomba kwa jirani. Lakini ndizi iliyokomaa na kuiva inaweza kukupa mbegu naipanda ndizi kwenye karai bovu lenye matobo ili maji yasituame...
Wakuu Salaam,
Kwa wanaojua ni wapi naweza kupata mashine ya kuvuna mpunga kwa hapa Tanzania kwa maana ya kununua au pia kuagiza nje ya nchi pamoja na bei yake?
Mashine ninayohitaji ni ndogo sio...
Ndugu wanaJamiiForums!
Samahani naomba msaada kwa anayefahamu au hata kujishughulisha na zao la Ngwara. Tafadhali naomba nipatiwe elimu juu ya kilimo cha zao hili soko lake pia. Zao hili...
Wadau mwezi huu mwishoni Mungu akipenda navuna nyanya shambani kwangu Nimejaaliwa kulima heka 3 na zimebeba vizuri. Shamba lipo morogoro eneo la Dakawa. Ninachojivunai zaidi nimejifunzia humu...
Members natumain ni wazima.
Namtafuta mkulima wa ndizi kibiashara na mzoefu vya kutosha hasa shamba la umwagiliaji tuweze kubadilishana uzoefu na kuboresha mashamba na kipato kwa...
Wakuu salaam, katika harakati za kutafuta maisha, nimeona niingie shambani.
Swali langu: Inawezekana kwa shamba jipya ukapanda either ufuta au mahindi bila kulima? Yaani ukakata msitu...
FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping...
Naomba ushauri ni kilimo kipi cha nazina ya baadae ni bora zaidi au kuwa na manufaa zaidi kati ya miti ya mbao dhidi ya mikorosho?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ni rasmi Sasa kile kilio Cha Wafugaji wa Tanzania kukosa vifaranga kinaenda kuwa Historia Kufuatia Kampuni ya Cobb kutoka Ulaya ambayo ni Maarufu Kwa ufugaji na uzalishaji wa vifaranga wa kuku...
Galoni moja ya sumu ya nge inauzwa dola za kimarekani Mil 38 ambayo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania bilioni 75 (kumbuka hostel za Udsm ni BIL. 10).
Gunia mia za hawa wadudu zinatosha kabisa...
Watanzania wengi still na still tunalima au kufanya vitu kwa kuigana tu. Hii hupelekea mazao menhine kuwa na wakulima.wachache sana.
Nani mfano analima mazao haya comercialy?
1. Viazi vitamu...
MBUNGE MARTHA FESTO AHOJI UJENZI WA SKIMU YA MWAMAPULI HALMASHAURI YA MPIMBWE
Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Martha Festo alielekeza swali Wizara ya Kilimo kutaka...
Wakuu poleni na pilika za kutwa
Hongereni sana kwa kumaliza siku salama,
Naomba kuuliza ni wapi Kuna mashamba ya Bei rahisi yanayostawi kahawa na migomba?
Ambayo hayana ukame sana
Natamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.