MBUNGE PROF. SOSPETER MUHONGO ASISITIZA KILIMO NI BIASHARA KUBWA DUNIANI
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mhe. Prof Sospeter Muhongo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo...
AHADI YA MHESHIMIWA RAIS YATEKELEZWA - SERIKALI KUFUFUA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KWENYE BONDE LA BUGWEMA
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokea na kukubali ombi la kufufua kilimo cha Umwagiliaji...
Wataalamu wanafikiri hivyo.
Zafarani iko njiani kutoka Pampore huko Kashmir kuelekea kaskazini-mashariki kama NECTAR katika mradi kabambe ambao umefanikiwa kukuza viungo huko Yangyang kusini mwa...
Hapa Tanzania kilimo cha Basil, Mint, Parsley, Sage, oregano, thyme, rosemary, mbegu za chia, kinaweza kulimwa katika mikoa ipi, nimeahidiwa soko kubwa lakini mpaka sasa sijafahamu hiki kilimo...
Poleni na majukumu wakuu, nilikua nataka mnijuze ABC za kilimo cha mchaichai hapa Tanzania hasa nilitaka kujua sehem ambazo hili zao linapatikana kwa wingi au sehem ambazo linastawi vizuri...
Kipindi hiki cha mvua, unaweza otesha Dragon Fruits na ukapata matunda baada ya mwaka.
Ukiotesha Dragon kutumia cutti gs au kijiti utapata matunda ndani ya miezi 12 na ukitotesga mche utokano na...
Heshima kwanza,
Wakuu, nina shamba eneo la Makaa Yamu, Kirua Vunjo, wilaya ya Moshi vijijini lenye ukubwa wa ekari kumi na sita 16 (limepimwa na hati miliki)
Shamba lipo kilometer nne kutoka...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ninahitaji msaada wa kupata connection ya mtu au kampuni ambayo wanahusika na kusafirisha wanyama.
Nina mbwa wangu mdogo GSD ninahitaji...
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro alishiriki zoezi la ugawaji wa Miche ya Kahawa lililofanyika Octoba 4, 2023 katika Kijiji cha Kashinga - Nyakisasa.
Miche hii ni matokeo...
Watu wengi tunawachukulia poaa sana Wahindi,kisa wanaishi mjiji.Ila ukweli ni kwamba wahindi wamewekeza sana kwenye Aridhi,Wana mashamba makubwa na ya kutisha.
Binafisi nimetembelea Wahindi kama...
MBUNGE ZAYTUN SWAI: PROGRAMU ENDELEVU YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI ITAWASAIDIA SANA AKINA MAMA
Mhe. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha tarehe 11 Oktoba, 2023 ameshiriki...
Habari wakuu,
Nahitaji mbegu ya maharage aina ya fiwi nataka nijaribu,ila nahitaji mbegu inayozaa sana,achana na zile za Hedaru,kama unafahamu naipaje[wapi],usisite kuwasiliana na mimi. Asante sana.
Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa:
1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa
2. Majani...
Nyakati tulizo nazo sasa ni za kilimo cha kisasa. Kilimo cha technology. Nyakati hizi ni za kutumia viuatilifu na teknolojia zingine.
Hebu jiulize, ni vijana wangapi wanaweza gharama hii? Yaani...
Karibu Nehemia One Pvt Co Ltd. Kampuni yenye wataalamu wenye uzoefu wa masoko na uzalishaji wa mazao ya kilimo.
Kampuni inapenda kukukaribisha kwenye fursa ya uzalishaji wa MDALASINI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.