Wanajukwaa mimi ni mmiliki wa trekta zaidi ya moja naomba kujua ni maeneo gani yanauhitaji mkubwa wa trekta wakati wa msimu wa kilimo na ni mwezi upi? Kama mtu Anauhitajika na trekta la kulima...
Ukitembela miji mingi, kitoweo ni changamoto kubwa sana, hasa upatikanaji na pia bei zake.
Ikishafika jioni huwa familia nyingi hasa hizi za vipato vya chini huwa wanawaza sana kuhusu kitoweo...
Mbinu muhimu wakati wa uanzishaji ufugaji wa samaki
i. Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. Ni wazi kuwa dhamira ya kweli ni kitu muhimu sana unapotaka kufanya jambo...
Habari zenu Wakuu,
Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo maana nimeulizia Dodoma cement wenyewe wanauza kuanzia 1000 kg na Mimi nahitaji 100kg.
Napatikana Singida
Habari wana JF!
Kwa sasa hivi nimeona juhudi mbalimbali zinazochokuliwa kuinua kilimo cha mkonge kwa maelezo kwamba kinalipa kwa kuwa ni zao lenye soko kubwa. Naomba kujua uzoefu wenu katika...
Habari,
Mimi ni mkulima wa vanilla nataka kukua sasa kwa kujenga greenhouse yangu kama m² 30/40. Hivyo nataka kujua ghalama za net kwa ambaye anajua anaweza kunielekeza na sehemu ya kuzipata na...
Habarini wafugaji wenzangu. Nina imani mifugo yenu inaendelea vema.
Mimi ni mfugaji mdogo na si wa siku nyingi sana, kwa kipindi nilichofuga mpaka sasa nimeweka malengo makubwa ya kufika mbali...
Nahitaji automatic rollers/ trays zinaweza kutumika katika incubator, Kama picha invyoonesha.Nahitaji kujua Bei za manunuzi yake zimekaaje kwa Dar es salaam
Historia:
Mwanza ni mji ulioko katika eneo la kaskazini mwa Tanzania.
Ingawa una ardhi yenye rutuba na hali ya hewa nzuri kwa kilimo cha matunda, mji huu haujulikani kwa biashara hii...
Wakuu nauliza wale wanaolima mboga mboga za majani kule Morogoro wanalima sehemu gani. Yaani ni wilaya ipi na kijiji kipi, maana nimeona mboga nyingi zinatoka huko kuingia mjini Dar es Salaam...
Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja.
Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili.
Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka...
Heshima yenu wakuu!
Mwenye kujua au aliyewahi kutumia mbolea hii ya maji almaarufu Kwa jina la supergrow. Je nikweli Ipo Vizuri ukilinganisha na mbolea hizi tulizo zoea kama NPK, CAN, UREA, DAP...
Habari wana jukwaa,
Kuku wangu wanataga mayai hayana kiini cha njano kabisa, hata niwape vitamini gani. Katika pita pita nikagundua hii carogold, natamani kuitumia lakini najiuliza je haina...
MBUNGE EDWARD LEKAITA AWATAKIA WAKULIMA MSIMU MWEMA WA KILIMO KATA YA KALOLENI JIMBONI KITETO
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita ametembelea na kushiriki shughuli...
Nawasalimia ndugu zangu,
Poleni kwa changamoto ya mvua
Nina shamba langu dogo hapo Chalinze, nataka nilipande miti pembeni kulizunguka.
Je, huu ni msimu mzuri wa kuotesha miti?
Je, ni miti...
Watu wengi hasa hapa Bongo tunajua kazi ya punda ni kubeba mizigo au hata kwenda Kulima, na sasa pia ile ya kuchinjwa na wachina.
Ila jambo tusilo lijua ni kwamba Punda pia anatoa maziwa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.