Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni umshauri wale ambao mnaifahamu kuhusu dini Mimi ni muislamu Jina kwa maana siswali Ila familia yetu ni waislam. Katika kutafuta Biashara ya nyumbani hisiyo na usumbufu sana nikagundua...
4 Reactions
8 Replies
773 Views
Wazo hili limezaliwa kutokana na michango ya wazoefu waliomo humu JF wa kilimo cha zao tajwa. Kwa kuwa wazo limezaliwa humu, nimeamua kulirejesha humu ili lipate ukosoaji wenye tija. Kwa mujibu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau nafikiria nikope trekta la HP 35 ambalo talitumia kulima ekari zangu 50 na chache za majirani.Baada ya hapo nitakutumia kubebea mazao na vifaa vya ujenzi kwa maana ya kulikodisha...
9 Reactions
45 Replies
5K Views
Asili ya miti au zao hili ni Asia, Waarabu na wafanyabiashara walileta zao hili Tanzania miaka ya 1600-700. Minazi ya asili hi chukua miaka 10 tangu kupanda mpaka kuvuna au kuangua Nazi. Mti wa...
34 Reactions
117 Replies
14K Views
Kuna baadhi ya watu wanaosifia SUPER GRO na wengine kutoisifia kwa utendaji wake wa kazi kua ni mbovu Ningependa kukaribisha maswali kuhusu SUPER GRO. Karibuni....
2 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari ya sasa hivi Nina project ya Agriculture inajihusisha na wakulima wadogo, natafuta mtu ambaye tunaweza kufanya naye (partner) Document zote zipo vigezo financial free pia awe na...
0 Reactions
5 Replies
678 Views
Mulberries matunda yake hakuna hata mmoja humu anaye weza pinga kwamba sio matunda matamu, Mulberries binafisi nikikutana nayo popote pale lazima niyachume nile. Haya matunda ambayo nahisi asili...
15 Reactions
38 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza, nilikua nawazo la kuanza kuwekeza kwenye kilimo kupitia boom langu. Sasa ni kwamba kwasasa sijui ni aina gani ya mazao ambayo nitaweza wekeza na...
0 Reactions
9 Replies
731 Views
Nina eneo kubwa nataka kulima maharage. Naomba kujua ni aina gani ya maharage inapendwa sana sokoni na bei yake imechangamka sokoni. Ukinipa na mbegu inakopatikana itapendeza. Eneo heka 2
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa Kiha yanaitwa KINULE! Kwa Kiswahili yanaitwaje? Au ndiyo NGWARA? Yanalimwa zaidi nchini Burundi. Ni watu wachache sana wanaoyalima Kigoma. Mengi yaliyopo "masokoni" Kigoma yametoka huko...
3 Reactions
17 Replies
870 Views
Naomba mnielekeze kampuni inayouza vifaa vya kuendeshea kilimo kama vile power tiller, gasoline micro tiller, na pipe za kuvutia maji katika kilimo cha umwagiliaji
0 Reactions
1 Replies
260 Views
Habari za leo wapendwa, baada ya kujuzwa faida ya mmea wa azola ulivyo na ufanisi na mkombozi kwa wafugaji, niliingia shambani kwa ajili ya kilimo na sasa mavuno yako tayari. Kwa yeyote...
1 Reactions
8 Replies
970 Views
Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi...
4 Reactions
7 Replies
667 Views
Habari ya Kazi, poleni na harakati za kila siku. Nimekuja mbele yenu ili mnijuze kiuagugu ambacho ni Bora kwenye maharage. Yaaan namaanisha Chenye ufanisi mkubwa kuua magugu na nyasi na kuacha...
2 Reactions
7 Replies
724 Views
Habari za humu ndani wadau, nimesoma maandiko mengi na kusikiliza wataalamu wengi juu ya kilimo cha mahindi. Wapo wanaosema unaweza tumia viua magugu km round up kuandaa shamba badala ya kulima...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari ndugu wakulima wenzangu. Leo natoa taarifa tuu ya Hadhara kwamba mjiandae kisaikolojia maana bei ya Mahindi itaenda kushuka sana. Kenya ambayo ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania bei...
6 Reactions
65 Replies
12K Views
0693392242 natafuta dalali waaminifu kwenye samaki nimpe tenda
1 Reactions
10 Replies
642 Views
Habari za Leo?! Nahitaji kuku chotara wenye umri kuanzia miezi miwili kwa mkoa wa Morogoro au Dodoma.
1 Reactions
5 Replies
620 Views
Wakuu salama. Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama. Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele Shamba la karibu na mto...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…