UKIPEWA SH.10000 UMFUKUZE KANGA KATAA, HUTAMPATA
Tanzania inatajwa kama taifa linaloongoza kwa kuwa na mbuga pamoja na wanyama wengi duniani.
Itapendeza iwapo tutakuwa tukizielewa tabia za...
Habar wanajamvi, nimeona nirudie hii mada kuhusu kilimo cha machungwa, maana nimeona watu wakidanganyana kuhusu kilimo cha machungwa, mimi ni mkulima mdogo wa zao hili na hiki ninachotoa ni uzoefu...
Kinadharia ufugaji wa sungura kibiashara ni jambo lenye kuleta matumaini sana, lakini kiuhalisia ni biashara yenye utata mkubwa sana kwa hapa kwetu Tanzania.
Makampuni mengi yanayohamasisha...
Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nimeona post ya viongozi kugawa majembe ya mkono kwa wakulima huku mkuu wa wilaya akiwataka vijana wakachukue utajiri kwenye kilimo.
Binafsi nimeona hilo...
Habari wanajamvi.
Je, una mifugo inayosumbuliwa na maradhi mbalimbali?
Ningependa tutumie uzi huu kushare picha za wanyama wa kufugwa (ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata n.k)...
Habari za jioni wanajamvi,
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu, wadau nataka kufuga Kasuku lakini sijui naanzia wapi.
Tafadhali naomba mwongozo wenu kwa mtu anayejua chochote kuhusu kasuku...
Ukiachana tofauti ya bei ya njiwa huanzia elfu 10 pair moja ya njiwa Wa kawaida, elfu 60 kwa wale weupe, na wengine wapo wanauzwa hadi laki 8 kwa pair moja!
(Kazi moja ya njiwa ni...
Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka...
Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. Niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu, sasa nataka kuwekeza kiwanda au viwanda vya kutengeneza juices, toka mananasi...
Habari ndugu wana JamiiForums, nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusiana na jitihada za sekta yetu ya Nishati katika kuibua njia mbalimbali ambazo zimekuwa na tija katika utunzaji wa mazingira...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekitaka Kiwanda cha Kuzalisha Bidhaa za Kibaolojia Tanzania (TBPL) kuzalisha kibiashara viuatilifu hai (Biopesticides) kwa kasi kwa...
Nilisimama kulima nyanya kwa muda mrefu, na sasa nataka kurudi kulima nyanya tena. Naombeni msaada wenu ipi mbegu bora ya nyanya kwa sasa na haipigwi na kinyausi.
Na Laudence Simkonda -Momba
Mbunge wa Jimbo la Momba Mheshimiwa Condester Sichalwe (Mundy) ameiomba Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko(CPB) kuanza kuona uwezekano wa kujenga kinu cha kuchakata...
-Gharama za kuzalisha mkonge kwa ekari moja
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II
-Kipindi cha marejesho (Payback period)
Kilimo-Biashara...
Habari zenu wadau,
Kwa wale wafugaji wa Bata, Kuna ukweli wowote kwamba ukigusa mayai ya bata Basi yanaoza, hayawezi kutotolewa? Au Ni Imani za watu tu? Wazoefu mtupe uzoefu.
Karibuni.
Nimekuwa napata changamoto kwa upande wa hizi incubator ndogo za sido hata za kichina. Zimekuwa nyingi hazina utotoleshaji wa kueleweka. Mara nyingi ni pata potea.
Siku nyingine inafanya vizuri...