Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Naombeni msaada paka wangu mdogo ana mafua Nimpatie dawa gani wakuu?
2 Reactions
4 Replies
925 Views
Nahitaji vazi linalovaliwa wakati wa kurina asali kwenye mzinga. Naomba kufahamu nitakakolipata pamoja na bei yake.
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Habari Wana JF, Nahitaji njiwa kwa ambae anauza anitafute kwa namba 0744925496 kwa kupiga au sms za kawaida Nipo Dar es Salaam, Kawe. Pia kwa anae fahamu maeneo wanapo uza kwa Dar es Salaam...
2 Reactions
9 Replies
913 Views
Nataka safirisha viazi kutoka Mbeya to Tanga vipi kwa wanaoifahamu inalipa na gunia moja kwa Tanga huwa ni shilingi ngapi? ========== Viazi mviringo (Solanum tuberosum) hupendelea maeneo yenye...
1 Reactions
149 Replies
71K Views
Wadau za mida Naomba msaada kujua bei ya kukodi trekta kwa Dar Es Salaam na pia kama kuna yeyote mwenye mawasiliano ya wapi naweza kulipata untaarifu kwa 0678 151 275
0 Reactions
2 Replies
896 Views
Nahitaji shamba la kulima mpunga kwa yeyote mwenye nia tunaweza ungana au akanikodishia tulime au nilime mpunga
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi broiler nikiwafuga kienyeji, yaani wajitafutie chakula kwani kuna shida gani?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Moja ya mambo ambayo Tanzania huwa hayatangazwi Au kutembea kwa habari zake kwa kasi ni kilimo cha dengu, ngoja nianze kwa sababu kadhaa, ni eneo dogo la nchi linalolima dengu ila huhitaji wake...
4 Reactions
57 Replies
18K Views
Wakuu mwenye kujua changamoto za ufugaji wa kuku wa Mayai na namna kuzikwepa anipe muongozo kidogo kwasababu kuna jamaa mmoja alinisimulia juu juu tu kuhusu ufugaji huo akidai nikiwa na kuku 300...
2 Reactions
6 Replies
12K Views
Mimi naishi Dar najihusisha na kilimo na ufugaji Tuna shamba letu kubwa tu Bagamoyo Fukayose lipo ekari 37 Kuna kipindi tuliweka wafanyakazi tukawa tunalilimia mahindi ila kutokana na changamoto...
1 Reactions
8 Replies
658 Views
HABARINI Wadau kwa anayehitaji mbaazi zipo zinapatikana ni inbox kwani natafuta wanunuzi wa mbaazi au kwa anayefahamu soko lake naweza pata wapi wadau nisaidieni.
0 Reactions
4 Replies
876 Views
Habarini ndugu zangu! Nafikiria kuanza biashara ya ufugaji wa samaki kwa mkoa wa morogoro mjini. Nina passion na ufugaji wa samaki sana ni kitu napenda kutoka moyoni ila najiuliza, Je masoko...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Naombeni kujua ni dawa gani naweza kumpa sungura anayepiga chafya na utando mweupe machoni na ni dalili za ugojwa gani.
0 Reactions
3 Replies
966 Views
TATIZO la kuku kuwa na TABIA zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa WAFUGAJI wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza sana hasa kwa KUKU wa MAYAI. Tatizo hili pia limekua...
5 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari ya leo. Nina mradi wa ufugaji nguruwe mix kuku wa kienyeji Kijijini kwetu Songea. Tatizo lililopo ni Nguruwe kukamata na kula kuku wanaoingia bandani kuokota punje za mahindi. Sio chini ya...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Wakuu habari. Naombeni msaada anayeijua mbegu bora ya hoho inayoweza kabiliana na tatizo la kinyaushi. Aise ili tatizo limekuwa changamoto sana kwa baadhi ya mazao ya mbogamboga. Ikiwezekana...
1 Reactions
1 Replies
607 Views
Haijawahi kutokea! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Nakushauri kama unanafasi na kama uchaguzi wa Kenya utaenda vyema, basi hudhuria maonyesho ya Kilimo ya Nairobi, hakika hutajuta kamwe, Ni Very Organized ukilinganisha na hizi Nane nane zetu...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Wana JF habarini za mda huu? Nimepitia uzi nyingi kuhusu kakao au kokoa lakini bado sijafanikisha kupata majibu ya mwaswali haya: Naomba kusaidiwa kujua bei ya jumla ya kokoa kavu ya Tanzania...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Vifaranga wangu 20 wa miezi miwili wanatoa kinyesi laini cheupe na wanakosa nguvu ya kusimama, miguu inalegea pia wamezubaa, naombeni ushauri ni dawa gani inafaa niwanusuru , maana mpaka sasa kafa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…