Ndugu wanajamvi,
Ni siku nyingine ndugu zangu tumeamka salama na pilika za kusaka mkate wa Leo.
Husika na madam hapo juu, ndugu zangu nimeamua kuja kwenu kupata mawazo ya namna ninavyoitaji...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ndugu wataalamu.
Nataka kuaianza hii biashara ya kilimo na pia nikikodishwa nitaenda kumlimia mtu. Bado nafanya utafiti wa tractor gani ninunue Jembe na...
Salaam wanabodi,
Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa.
Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili...
Habari zenu!
Naomba leo nitoe ushuhuda hapa jukwaani. Kwanza nipende kutoa shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kuniweka hai kwani wengi Sana walitani kuishi ama kupata bahati Kama yangu...
Ndugu wanajamii forum habari za hapa wapambanaji wenzagu:
Nawaombeni msaada kama kuna wadau wana fahamu maeneo ya udongo wa mbuga nyeusi yenye kufaa kilimo cha dengu maeneo ya Kondoa maana kuna...
Ndugu wadau,nimeambiwa huko kuna mashamba yanayofaa kwa kilimo cha mazao.mbalimbali,bei hadi laki 1.5 kwa ekari sasa nataka kujilipua mwaka huu.
Asanteni
Habari wana jamvi,
Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za Serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45...
Habari za muda huu wakuu, hongereni kwa mapambano ya usiku na mchana kuendelea kuifanya nchi yetu na dunia kwa ujumla kuwa sehemu bora na salama.
Iko hivi, nina mpango wa kufuga mbwa shambani kwa...
Habari wana JF. Azolla ni mmea(magugu) ambao huelea kwenye maji, mmea huu una kiwango kizuri cha protini 25 -30% na huota sana kwenye mashamba ya mpunga na madimbwi.Kutokana na tafiti mbalimbali...
Habari ndugu,
Nina shida na kupata banda la kukodisha la kufugia broiler maeneo ya morogoro mwnye msaada naomba anisaidie ila ni maeneo ya Morogoro Mjini
Kwa wale walio kuwa wanaulizia Canola Oil seeds kwa ajili ya majaribio, wale Wazungu wameleta mzigo wa kutosha kwa ajili yao na ila kuna ziada kiasi inaweza patikana kuuza kwa anaye hitaji. So kwa...
Bila kupoteza muda zifuatazo ni tabia za wakulima zinazofanya kilimo kisiendelee:-
1.Kulima bila kufanya maandalizi. Wakulima wengi hawafanyi maandalizi mapenda yaani wanasubiri mvua inyeshe ndo...
Habari wa kuu, naomba kushea pamoja nanyi maarifa juu ya ugonjwa wa mbwa ambao hua haupewi kipaombele sana na wafugaji wengi. Lakini unaweza pelekea kupoteza maisha ya mbwa endapo hatua stahiki...
MADAWA YA ASILI YA KUKU:
Madawa haya yanatokana na mimea na yanasaidia ktk jinga na kutibu pia. Dawa hizi tunazipata ktk sehemu za mimea yaani; majani, magome, mbegu, Maua na matunda. Umuhimu...
Ujumbe huu ni maalum kwa Waziri wa Kilimo na Chakula, mheshimiwa Bashe. Awali ya yote nikupongeze kwa juhudi na kazi kubwa na nzuri unayofanya ktk kuiongoza Wizara hii nyeti.
Wakulima tunaziona...
Kwa wataalam wa kilimo hususan mazao ya Biringanya na Ngogwe, naomba mnisaidie kutambua majani haya ni ya zao gani kati ya Biringanya au Ngogwe?
Natanguliza shukrani
Wakala wa mbegu Tanzania (ASA) mjitafakari sana! Mliwaaminisha watanzania kuwa mbegu yenu ya alizeti mnayoiita STANDARD ni mbegu bora kumbe ni mbegu ya hovyo kabisa! Ni bora mngeacha wakulima...
Kuna huu msemo .
Mwanamke akiwa kwenye hedhi haruhusiwi kuchuma mboga za matunda kama vile nyanya maji,nyanya chungu,pilipili washa na hoho.
Pia vilevle haruhusiwi kupita au kushika majani ya...