Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Wadau salama? Naitaji mtu mwenye makazi au connection na Isimani, Iringa. Nataka kuhamia huko kwa shughuli za ufugaji na kilimo, naomba ni DM. Ahsante.
1 Reactions
5 Replies
993 Views
Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. Ningependa kushuhudia ufugaji wa wengine unavyoendelea na kupata ushauri kutoka kwa mfugaji mwenyewe ili niweze kujifunza vizuri zaidi, Tafadhali kama...
1 Reactions
25 Replies
11K Views
Naomba ndugu zangu wana jf mnijuze kuhusu kilimo cha tumbaku Tanzania.Kwa sasa nipo kwa mzee Mugabe naona wakulima wa tumbaku wana piga hela sana,sijui bongo gharama za kulima pia na bei sokoni...
0 Reactions
29 Replies
17K Views
Na Gaspary Charles - TAMWA ZNZ. JUMLA ya vifaa 11, 000 vya kuhifadhia mazao ya Viungo na Mboga mboga vimetolewa kwa wakulima 666 wanufaika wa Mradi wa Viungo, Mboga na Matunda kisiwani Pemba...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Habari wanajamvi!! Mimi ni mfugaji niliyekuwa nikifuga kuku kwa kununua vifaranga.... Baada ya muda mrefu nimeamua kujipanua kwa kununua incubator ndogo ya mayai 120.... Utotoleshaji wangu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninaomba kwa mlioko Mbeya jiji nielekezeni mahali ninaweza kuipata mbegu ya Azolla. Nataka nijaribu kuotesha kwa ajili ya kuku na bata. Nimeambatanisha na picha ya mmea wenyewe!👇👇
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimesubiria story of change competition ianze naona haiji. Lol Nimekutana na hii kitu ya Data Science in Agriculture...nikaona ni share na nyie. Specific Kuna Decision Support...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
HATUA ZA KUZALISHA HYDROPONIC FODDERS Na Comrade Ally Maftah 0762212623 TREY ZA HYDROPONIC FODDER NI SH 3500 UKINUNUA TREI KITABU CHA UFUGAJI NI BURE NJOO INBOX NIKUTUMIE Kwa kufata hatua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza napenda kujua nani anayewafadhili kwenye miradi ya kubadilisha mbegu za asili na kutuletea hizo mbegu za kisasa ambazo wakulima wanaolima kibiashara wanazipenda. Sisi walaji wa karanga...
2 Reactions
3 Replies
723 Views
Huku bei ya mifugo ipo chini , ng'ombe na mbuzi! changamkia fursa kama unampango was kufuga au biashara kwa baadae!!!
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Ni kuhusu kilimo biashara. Unapoamua kulima lazima akili ilenge faida. Hukuna tena kulima kwa kubahatisha au kufuata mkumbo. Kwa msingi huo, ndiyo maana Kampuni yetu ya Kinasoru East Africa (T)...
3 Reactions
43 Replies
20K Views
Hbr kwenu wadau. Kama heading inavyosomeka hapo juu m ni mkulima nipo Dar ila mwaka huu Kuna changamoto nimepitia kiasi cha kupoteza mtaji wa kilimo. Sasa natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wadau salaam! Nahitaji connection ya kununua mpunga kutoka Mlimba/Morogoro, yeyote mwenye taarifa naomba anicheck dm!
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipo Iringa inavyoelekea mwaka huu Mahindi hayashikiki. Ikiwa ni kipindi cha mavuno(June -July), bei ya debe inacheza kati ya elfu 13 hadi 14. Lita ya mafuta ya alizeti ni kati ya 5000 na 5500...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620. Ushauri...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jirani yangu tumepakana viwanja, aliamua kupanda mihogo kwenye kiwanja chake akivuta nguvu ya kujenga. Akitafuta mbegu inaitwa kikombe. Juzi alipata mnunuzi aliyetaka Kuip ja kwanza...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Ufugaji ni Utajiri Ufugaji siyo kuku na nguruwe. Tuamke kilimo ni mali Tutunze pesa zetu kwa muda mrefu ili tupate pesa ya kununua Ardhi, vifaa vya shamba kama Trector. miundobinu. nyumba. maji...
15 Reactions
88 Replies
21K Views
Naanza kwa kutoa experience yangu. Niliingia kwenye kilimo baada ya kushawishika na vipindi vya Clouds Media kuhusiana na fursa. Presenters walishawishi sana kuwa vijana hatujitumi na hatutumii...
68 Reactions
382 Replies
70K Views
HISTORIA YA ZAO LA MKONGE Zao la mkonge liliingizwa nchini Tanganyika mwaka 1892 na mtaalamu wa kijerumani Dr. Richard Hindorff ambaye alikuwa ni mtafiti wa mimea na udongo. Mtaalamu huyo...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Ufugaji hasa wa kuku ni gharama sana na Chakula huchukua asilimia zaidi ya 70 ya gharama zote za matunzo ya kuku. Feeding coast ziko juu mno, na hazishuki bali zinapanda kila kukicha na wafugaji...
7 Reactions
20 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…