Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation nahitaji mtu tutakayeingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja .
Tunatumia diesel kujaza maji kwenye...
Wakuu nina swali kuhusu utengenezaji wa mizinga ya nyuki. Mzinga in lazima utengenezwe kwa mbao au unaweza kutengenezwa pia kwa material nyingine kama plastic?
Kuna mtazamo wa watu wengi sana kuhusiana na nyuki lakini kwa kifupi nataka tujifunze mambo machache kuhusu hawa wadudu na umuhimu wao sana katika muendelezo wa jamii ya mimea mbali mbali...
Iko hivi. Ninapump maji kutoka chini yanajaa kwenye tank kubwa nililolijenga . sasa nikitaka maji yanayotoka kwenye tank kuyapeleka shambani yawe na pressure, nimeshauriwa kutafuta pump ndogo za...
Kama binadamu inabidi atunzwe au ajitunze kuendelea kuwa hai ndivyo hivyo hivyo ardhi inahitaji matunzo kuweza kuwa hai, uzalishaji mzuri wa mazao katika eneo lako ulilolima ni ishara ya kuwa...
Mazao bora hutegemea sana kilimo bora
Unapoongelea kilimo bora huwezi kuacha kuongelea uandaaji wa shamba,upandaji wa shamba na utunzaji wa shamba bora ukitaka mazao yako yawe bora zingatia sana...
Natarajia wakuu mko salama kabisa, Je ni sehemu gani hapa kwetu Tanzania ambapo kunaliwa karanga pori kwa wingi au wapi panaweza limwa macadamia nuts kwa wingi, yaani karanga pori, natangulia...
Nimefuga Sungura kwa miezi saiz ya vitatu lakini kila wanapozaa watoto huda Mars tu wanapochangamka na hawajaonyesha dalili za mgonjwa hivi tatizo hasa ni nini mana natumia nguvu nyingi lakini...
Naomba kufahamishwa je naweza kuendelea kupiga booster ata baada ya mahindi kutoa mbelewele na je kuna madhara yeyote katika matumizi ya booster natanguliza shukurani
Wakuu,
Mbwa Nilikuwa nao watatu ila cha ajabu wawili wamekufa jana kwa wakati mmoja, nimewazika leo na huyu mmoja aliebaki nae ni hivyo hata hatikisiki na hana nguvu za kusimama.
Dalili zao wote...
Wakuu kwema? Hili zao la vanilla nimeona linapigiwa chapuo sana hasa kwenye bei yake nasikia ipo juu sana hadi kufikia usd 500 kwa kilo. Je ni kweli?
Kwa wadau wanaohusika na ulimaji au wenye...
Poleni na shughuli za kuyatafuta maisha.
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya wote wanaotaka kujua lolote kuhusu nyuki na mazao yake,tujadili hapa kwa kina kuhusu masuala ya nyuki.
Mimi nina uzoefu...
Habari,
Naomba ushauri kwa kuvuta nyuki kwenye mzinga. Najifunza ufugaji nyuki na nimejenga mzinga mdogo wa kama futi2 kwa 2.
Nlishauriwa nichome nnta na nimefanya hivo wiki ya pili sasa sioni...
Habari wananchi wenzangu, nimeazimia kulima shamba lakini nimeona hili ni jukwaa husika kwa hizi habari za kilimo sasa naomba ushauri kwa miezi hii ni mazao gani ambayo naweza kufanikiwa nikilima...
Nina Kobe lakini sifaham biashara yake ntaipata wapi. Inawezkana. Poor connection niliokua nayo. Kam kuna connection za kuuza kobe tujuzaje au biashara hizi ni za nadharua
JINSI YA KUJITENGENEZA CHAKULA CHA KUKU NYUMBANI KWA AJILI YA KUONGEZA UZALISHAJI
Kutokana na kuongezeka kwa gharama za chakula cha kuku iwewawia vigumu wafugaji wa kuku kupata faida kupitia...
Habari wadau.
Mwaka jana kulikuwa na taharuki juu ya uendeshwaji ya biashara ya Mr. Kuku mpaka kupelekea kushtakiwa kwa kosa la upatu na kupelekea wawekezaji wengi kupoteza fedha zao.
Mwisho wa...
Jamani mimi ni mkulima mdogo mkoani iringa nalima mahindi, lakini kutoka na hali halisi ya soko na pembejeo kuwa juu nadhani mwakani sitoweza kulima, nataka kulima soya au mbaazi, sasa sijui...