WAZIRI MKUU ATANGAZA ZABIBU KUINGIZWA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa...
Jamani wanajamvi wenzangu,
Katika kupitia makala mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali duniani nimegundua kuwa ufugaji wa mbuni una faida kubwa sana na hauna gharama kubwa kwa sababu mbuni...
Wajuzi wa trakta mpo humu. Fungukeni tupate kujua. Ipi mashine ya ukweli kati ya 855FE na 960FE? Tudokeze na sababu
blacksamurai
Ulimbo
Mkyashinho
kidadari
DASM
Brian72
FURY BORN
na wakuu wote
Habari ya asubuhi ndugu zangu. Ninahitaji mbegu ya nyanya isiyo na bei ghali lakini inafanya vizuri na kutoa mazao bora.
Moja ya changamoto kubwa ya wakulima wa nyanya sasa hivi ni bei kubwa ya...
Wajuzi na wazoefu wa kilimo nataka kununua tractor la kulimia liwe multipurpose kwa kulimia knye mashamba ya mpunga ludewa na mbarali lakini pia kwa kilimo cha mahindi vwawa . Nasikia massey ni...
Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote.
Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa...
Habarin za kazi wana jamvi, nina mpango wa kuanza ufugaji wa bata mzinga ila sina taaluma juu ya hao bata naomba kupewa elimu kuhusu ufugaji, pia changamoto na upatkanaji wa masoko
Nawasilisha...
Kama picha inavyojieleza, naomba mwenye ufahamu wa aina hii ya mayai. kwa nje yana shell yenye rangi nyeype. Ukilivunja kiini ni njano kawaida ila chepesi mno kiasi kwamba unachanyanyika na ute...
Habari za majukumu wanajamvi,
Ninahitaji Ngombe wa maziwa Singida mjini awe ndama, mtamba au mwenye mimba.
Au kwa anaejua wapi ntaweza kupata maeneo ya karibu anipe maelekezo,
Natanguliza...
Habari
Kuinstall drip irrigation system inaweza kugharimu kiasi gani kwa hekari moja ya shamba?
Nipo Morogoro mjini,na je ntawapata wapi wataalamu ya kazi hii
Je, unapenda kufuga samaki?
Basi, Masamaki zoo wanakuletea makala ambazo zitakupa mwanga wa pakuanzia ili uweze kuanza kufuga samaki kama wewe ni mpenzi wa ufugaji wa samaki.
Makala hizo...
Wakuu nina banda la kuku nimelijenga kwa miti na kukandika kwa udongo sasa usiku nikiwa nimelala anakuja mnyama anachimba na kuingia kisha anakamata kuku tena wale wakubwa kabisa anaondoka nao...
Wakuu wana jf habari,
Nimelima zao la kahawa miaka miwili iliyopita imeanza kuzaa lakini nachoshangaa majan yote yamepukutika na matunda yake yamekuwa kama yamekauka nilipojaribu kuuliza wenyeji...
Kuku Wa kabila la Dong tao ambao wanatambulika kwa kuwa na miguu minene ndiyo kuku ghali zaidi duniani.Kuku hawa huuzwa kwa bei hadi kufikia dola za marekani 2000.
Wanapatikana kwa...
Habari zenu wanajukwaa. Nipo Arusha lakini nimepata shamba kama hekari 30 huko morogoro mbele kidogo ya mji wa ifakara panaitwa Ihowanja. Napenda sana kulima kokoa ila sina hakika kama hali ya...
Niko wilaya ya kwimba napenda kujua kama maharage yanaweza kusitawi vizuri kwenye udongo mweusi (mfinyanzi) maana ninaeneo la aina hiyo na liko karibu na chanzo Cha maji.
Naomba ushauri wako.
Natarajia kupanda Maboga, naomba utaalamu kuanzia spacing, mbolea mpaka kuvuna asante.
========
Maboga Hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la...