Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuweka ndoto za mafanikio kwenye swala zima la ufugaji kuku, swala ambalo watu wengi wanakosea kuingia kwenye ufugaji bila tathmini...
Sekita ya Utalii ni kubwa sana na ni pana sana, ina chain ndefu sana nitataja chache tu;
1. Mawakala wa utalii hawa wako huko ulaya
2. Wasafiridha watalii, kuja Tanzania, hapa kuna ndge
3...
Habari zenu wana jukwaa mimi naomba mwenye experiences na soko la zao la matikiti mwezi saba au wa nane hua liko vipi hasa kwa miji kama Dar Morogoro au Dodoma. Kwa mwenye kujua naomba msaada wa...
Nimefanya karesearch kangu private kadogo na yafuatayo ni mawazo yangu kuhusu ufugaji wa mbuzi bila kuchungwa.
Nitatumia case ya mbuzi 110 hawa nitawaterm kama "mbuzi wazalishaji" au "parent...
UFUGAJI WENYE TIJA
HABARINI WAKUU
#natumai mko njema kabisa _najua humu kuna watu wenye uzoefu mkubwa sana kwenye swala la ufugaji kuku (tamu na chungu
natamani sana kuanza ufugaji wa kuku ila...
Wanakilimo mliobobea naomba mwenye kujua hatua za kilimo hiki na masoko yake au tu anielekeze kinalimwa wapi nitaenda kufuatilia mwenyewe kwa wenyeji.
Aksante
Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai...
1. Baada ya kuanguliwa , Chanjo ya Marek's na Dawa HVT, Namna: sindano
2. Siku ya 2 hadi 6 KINGA ya Pullorum, Dawa: Trimazine 30% plus Vitamin, Namna: Maji
3. Siku ya 7, Chanjo ya Mdondo/Kideri...
Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima.
Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya.
Kuna...
Niliwahi toaga humu post ya Kware wa Nyama, wagu walikuja juu mno.
Jumbo.
Nyama ya kware Jumbo.
Hawa ni special oda tunawazalishia wateja wasio pungua 4 tu.
Hawa ni special kwa nyama tu...
Watu wengi wakisikia Kware moja kwa moja picha inayo kuja ni ya mayai kwamba yanatibu mara ukimwi mara Kisukari.
Ila ukweli ni kwamba wengi hawakwenda mbele zaidi kwenye matumizi mengine kama...
Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima.
Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe...
Hili linahusu watani zangu wa bukoba wanaoamini kahawa yao Robusta yenye ladha chunguuu sana ati ni bora kuliko arabica ya kulee Kilimanjaro
Poleni sana Kwa kuamini msiyoyajua!
Hakuna...
Zao la nazi pia hujulikana kama mti wa uzima kutokana na kuishi kwa muda mrefu. Kilimo cha minazi ni uwekezaji mkubwa kwa sababu mkulima anaweza kurithisha hata kizazi chake.
Kwa bahati mbaya...
Habari. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla...
Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine...
Zipo NI heka sita
-Kila heka bei NI M1.2
-Linafaa Kwa mazao yote ya ukanda wa njombe
-Linamaji ya misimu wote
Unapanda parachichi,viazi,mahindi,maharage na mazao mengine yote yanayoota ukanda wa...