Habari wakuu,
Nimeona na mimi nitoe darasa kidogo kuhusu mavazi sababu na mimi ni kipaumbele changu katika maisha.
1.Epuka kuvaa marangirangi
Wakati unamatch mavazi jitahidi kupunguza idadi ya...
Wapendwa,
Nimeona nifungue uzi huu maalum kwa wadada wanaopenda mitindo ya nywele. Katika uzi huu nitakuwa nikiweka mitindo mbalimbali ya nywele kila nitakapopata nafasi, lakini pia kwa wale...
Salaam.
Wapenzi wa manukato nimewaandalia list ya Perfume maarufu (na zenye bei mbaya) na clones zake zinazofanana kwa asilimia 60 mpaka 90.
Unaweza kuwa ni mpenzi wa perfume fulani lakini hali...
Habari za humu wakuu, niko na swali hapa;
Je, hivi inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine na je, yaweza kuchukua kama mda gani kwa mtu kujua hata za saizi moja?
Wanajukwaa la Mitindo.
Kiatu kikali kinabadirisha muonekano wako kabisa. Sasa kwakua kila mtu ana fleva yake ya kiatu, unaweza share ulichovaa leo wengine tukaona labda tunaweza pata idea mpya...
Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa
Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie
Mungu akituweka miaka mitano tutajionea...
Siku hizi imekuwa desturi kwa baadhi ya wanaume kuvamia fasheni na tabia za kike hadi inaleta wasiwasi. Unamkuta mwanaume kipande cha baba amevaa kipochi cha kike anazurura nacho mtaani hadi...
Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.
Dove Gel Body Wash
Hakikisha ni Secret, ujue pia...
MHADHARA (103)✍️
Kwenye MAHUSIANO, MAPENZI, NA URAFIKI suala la usafi wa mwili ni jambo muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele kwa kila mmoja wetu.
Kuna watu wameachika kimya kimya kwenye...
Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe...
Kumekuwa na uvaaji holela wa mavazi ya wanaume na wanawake. Ila naomba kujua haya kwa wanaume
1. Mkanda huwa utapita kulia kutokea kushoto au kushoto kutokea kulia
2. Shati/tshirt- urefu wa...
Wakuu
“Maji ukichanganya kwenye chenga za barafu afu ukawa unaloweka uso umo kwa dk kadhaa na kutoa “
Hii inasaidia nn? naona watu wa fitness wengi kutoka nje wanafanya
Watalaam wa skin na...
Huu ni uzi maalum wa kupeana ideas, uzoefu na elimu ya kupamba nyumba, namna ya kusafisha ndani na nje ya nyumba, pamoja na mpangilio wa vitu katika nyumba zetu.
Nini madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu?
1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia
2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia...
Jinsi ya Kutunza Ngozi yako (Ushauri wa Bure)
Unajua ilivyo kazi kubaki na mwonekano mzuri wa ngozi throughout. Mara chunusi, mara ngozi kavu kama ya mamba, mara ngozi haina nuru yaani ile...
Tuna wakati mgumu kwa wasomi,wabunifu na n.k taifa ili la tanzania watu kujua wao nani.
Leo nimekutana kwenye mtandao ambao unatoa mawazo ya ubunifu kwa kila lanyanja.
Kitu kilicho nifumbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.