Habari yenu wajuzi
Je, ukinunua taulo jipya dukani au nguo za ndani kuna usalama wa kuzitumia moja kwa moja au inafaa ufue kwanza?
Consideration
Nguo za ndani na taulo zilizojaa madukani hutoka...
Kwa Wanaume.
Unajuaje kama iyo style ya kunyoa inakunoga? Unaambiwaga na watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimuachia kinyozi akuchagulie?
Ushawahi jaribu nyoa para? Pank? Ushawahi...
Lazima tukubaliane maji sio ya kila mtu. Kuna watu hawapendi tu kuwa karibu na maji achilia mbali kuyatia mwili.
Sasa kama wewe ni mmojawapo twende pamoja.
Hakikisha una sabuni ya kuogea...
Salam,
Kama title inavyojieleza huu uzi utakuwa wa kuelimishana na kushauriana juu ya fitness and healthy living. I'll put my two cents in naamini wadau wataendeleza ili watu wenye goals tofauti...
Mwaka 1993, Ndugu wawili wa familia moja, Richard Makalla (Easy Dope) na Robert Makalla (D Chief) wanaazisha kundi la muziki wa Rap huko Temeke.
Kundi hilo linatoa burudani ya muziki kupitia...
Parachichi ni tunda ambalo limesheheni virutubisho muhimu kama potassium, amino acids, na protein, ambavyo ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Leo, nitazungumzia umuhimu wa parachichi katika nywele...
Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi...
Huko kwenu mnafanyaje? na kwanini?
(A) Kila mmoja anafua underwear yake
(B) Hakuna formula maalum
(C) Mume anafua ya kwake na ya mke
(D) Mke anafua ya kwake na ya mume
(E) Dada/kaka wa kazi
Wanawake ni kundi lenye majukumu lukuki katika siku, pamoja na majukumu hayo usafi na urembo ni jambo muhimu pia.
Wanawake wengi wamekuwa wakizingatia zaidi nywele na uso huku wakiacha miguu na...
Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua!
Sasa hii maana yake huwa ni nini...
Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na...
Ngozi ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Ngozi husaidia kuulinda mwili, kutoa taka mwili, kuratibu joto, maji na chumvi, pamoja na kuhisi vichocheo kama vile joto, baridi, miguso na...
Choo ni moja ya sehemu muhimu zaidi katika nyumba inayohitaji kusafishwa mara kwa mara. Usafi wa choo unahusisha kuondoa uchafu na vijidudu vinavyoweza kusababisha magonjwa. Kwa kufanya hivyo...
Asali imekuwa ikitumika kwa karne nyingi kama tiba asilia ya magonjwa mbalimbali, lakini je, unajua kuwa ina faida za ajabu kwa ngozi yako? Kutoka kwa unyevu hadi sifa za kupambana na chunusi...
Habari wakuu...
Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...
Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...
Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
Soski zipo si haba idadi inatosha lakini cha ajabu mara nyingi hazipatikani ninapozihitaji yani nitaishia kupekua huku na kule mwisho naona isiwe taabu naamua kuvaa zozote zilizo hapo jirani...
Ndugu wajuvi,
Ni wapi ninaweza kupata boxers zenye ubora hapa Dar? Nyingi zimekaa kiajabu, zinapauka mapema.
Sasa, nimeona nijaribu hizi za Woolworth(tazama kiambatisho). Je, kuna mzoefu na...
Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.