Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi au blazia, wewe nunua rangi uzipendazo kumuona...
2 Reactions
3 Replies
438 Views
Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu Unajisikiaje mbaba...
2 Reactions
7 Replies
332 Views
Naomba ujuzi wako jinsi unavyofanya kuondoa madoa,kwenye nguo,shuka au mataulo meupe.Je kuna sabuni au dawa maalumu unayotumia?
1 Reactions
11 Replies
552 Views
Wanaume mnaovaaga hivi chukueni maua yenu 💐💐💐💐 mnapendezaga sana mnakua sexy. Hapa wanalengwa wanaume warefu wembamba wasio na kitambi. Kama wewe una kitambi au mfupi alafu unavaa ivi haya maua...
21 Reactions
95 Replies
5K Views
𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐅𝐀𝐒𝐇𝐈𝐎𝐍 𝐅𝐄𝐒𝐓𝐈𝐕𝐀𝐋: 𝐔𝐁𝐔𝐍𝐈𝐅𝐔 𝐍𝐀 𝐒𝐓𝐀𝐑𝐀 𝐓𝐚𝐫𝐞𝐡𝐞: 30 Novemba 2024 𝐌𝐚𝐡𝐚𝐥𝐢: Ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar Samia Fashion Festival ni tukio maalum linalolenga kuonyesha ubunifu wa mavazi ya...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Wakuu wa Urembo. Wifi na shemeji yenu kuna kazi anafanya jua linamuharibu ngozi yake. Katika kuulizia imebidi atumie mafuta ya kulinda na mionzi ya jua (sunscreen). Sasa mimi nikaona nimfadhili...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ninaomba msaada kwa mwenye uelewa wa cream nzuri(isiyochubua please)kuondoa tatizo la chunusi usoni kwangu. Nimeshatumia vitu vingi Lakini baada ya muda tatizo hurudi.Ninaomba...
2 Reactions
82 Replies
77K Views
Wapwa habari za asubuhi Mdogo wangu anasumbuliwa na changamoto ya chunusi ametumia dawa mbalimbali lakin Je Hawa watalaam wa ngozi wanajiita my fair skin wanaweza tatua changamoto hii Kwa...
0 Reactions
4 Replies
345 Views
Je, wewe unapendelea saa Brand ya aina gani ya mkononi? Mimi napenda Rolex, wewe je? Karibu
9 Reactions
296 Replies
82K Views
Wapi napata kaunda suti matata? Nahitaji kuivaa kesho, nina tukio la kushtukiza. tf.
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Kumbuka perfume nzuri ni ile inayomfanya mtumiaji kujisikia vizuri, kuongeza confidence na uchangamfu, na kusaidia kuexpress haiba na mood yake. Kwa hiyo natakiwa kuchagua the best and right one...
8 Reactions
637 Replies
252K Views
Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu...
18 Reactions
142 Replies
25K Views
KAMA HAUUZI BASI USIINADI SASA RAFIKI Kama sehemu zako za..sio njia yako namba moja ya uchumi basi acha kujinadi. Naam kila mwanamke anapata pesa kupitia huo...wake Penginepo kwa kuhongwa ama...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Jipende, uchafu sio sifa njema, eti unajisemea anipende jinsi nilivyo. Nani akupende na huo uchafu wako. Maua huvutia vipepeo na mizoga huvutia nzi. Kwahiyo, utawavutia wa aina ulivyo Hakikisha...
2 Reactions
0 Replies
170 Views
Huyu afande, Kanali Mashauri ambaye ni mpambe wa Rais Samia, ukiacha mavazi ya kijeshi yuko vizuri pia katika mavazi ya kiraia. Juzi niliona wakishuka pale Airport akiwa amevaa kiraia, amevaa...
1 Reactions
45 Replies
9K Views
Katika karne ya sasa , uvaaji wa wigi umekuwa fasheni katika sekta ya urembo na hutumika hususani na wanawake. Ingawa uvaaji wa wigi huwafanya wanawake hao kuonekana ni walimbwende zaidi. Pamoja...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa dawa au mafuta ya kuondoa makovu baada ya kupitiwa tetekuwanga
0 Reactions
2 Replies
449 Views
Haihitaji kufanya utafiti bali kutazama tu jinsi jamii inayokuzunguka inavyoishi katika suala zima la usafi hasa usafi wa kitu kinachoingia mdomoni mwako na jinsi jamii isivyojali kabisa...
13 Reactions
50 Replies
4K Views
Nyakati hizi ni kawaida kumuona kijana wa kiume akiwa amesuka ama kuvaa hereni. Zamani tulikuwa tukiwaona wasanii ndio walikuwa wakivaa hivyo labda lengo likiwa ni kutaka kujitofautisha na wasio...
7 Reactions
47 Replies
1K Views
Shkamooni wakuu over 24+ Inakuwaje wakuu under <23. Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili? Name & Price (bei za kawaida) na ni wapi naweza...
13 Reactions
194 Replies
17K Views
Back
Top Bottom