Wadau hamjambo nyoote?
Leo nadhani nimepewa zawadi ya boxing day.
Nilitoka na familia yangu mimi na mke wangu na mama mkwe ambaye kaja tu kusalimia nikaona si ubaya tukatoka tukaelekea Luguluni...
Habari zenu wapendwa.
Nimekua nikihangaika nipake mafuta gani usoni yasiyo na kemikali nakosa jibu. Uso wangu Mimi una mafuta rangi yangu ni brown.
Kwa ambaye ana ngozi na rangi Kama yangu...
Wanawake hoyeeeee, Wanawake juuu!
Tupeni siri ya sketi za penseli jamani, yaani mimi huwa napenda sana mwanamke akivaa sketi ya penseli. Sijui kwanini.
Kipindi hicho wakati nilipokuwa mdogo ndio...
DADA ANGU MWEMA pamoja na ubusy wako au kuwa na dada nyumbani kwako ila usiache kuingia jikoni kuhakiki chakula kabla hakijaja mezani.
Hakikisha unakihakiki sio kipo mezani mumeo au watoto au...
Good morning jf.....
Kama tujuavo tuko kwenye zama za misambwanda, mahaga, kitonga, wowowo na majina mengine kibao yatumikayo..... Wanawake wasiokuwa nayo wanajikuta katika wakati mgumu sana, nao...
Ndugu zangu watanzania wenzangu habari zenu.
Nimechoka life la kuishi kikolabo na rafiki yangu katika utafutaji wa maisha Sasa naona kuwa wakati sahihi wa kwenda kuanza life langu nikijitegemea...
Hivi wale watu wanakuaga na viuno laini ni wanakua wamezaliwa hivo walaini au ni mazoezi ?Kama ni mazoezi ni yapi hayo waweza kufanya kiuno kiwe laini....
Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk...
Kuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo....
1: kupaka wanja kwenye nyusi
Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa...
Habari zenu wana JF
Poleni sana na Swaumu naimani tunaendelea na Mfungo Mtukufu wa Ramadhani
Ndugu zangu nina miaka 25 Mzee wangu ana Uwaraza kwa Mbele hapa ule wanauita Upara wa Pesa. Sasa...
Wote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe...
Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀
Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda...
Ungana nami hapa tujadili suala la vikwapa kwa kutumia sayansi.
Je, wajua kwamba watu wa Asia ya mashariki huwa hawanuki vikwapa?
Eneo la Asia ya mashariki linajumuisha nchi za China, Japan...
Wanangu fugeni Ndevu.
Utafiti umeonesha Wanawake wanawapenda Wanaume wenye Ndevu kuliko wasio na Ndevu.
Asilimia 70% ni kubwa so no way out Wanangu tufuge Ndevu.
=======
Kumekuwa na mijadala...
Nimekutana na mtu akatoa hii hoja binafsi niliipinga lakini alitumia nguvu kubwa na mifano ya watu wetu wa karibu kushinikiza hoja yake, je ana hoja au apuuzwe??
Salaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles.....
Mimi ni mwanaume mweusi (weusi wa chocolate yaani maji ya kunde), recently natamani sana nibakie kwenye weusi wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.