Wadau ivi nitumie njia gani kusaidia ngoz yangu iwe sawa maana inasumbuliwa na acne plus scars adi inakua kikwazo.
Skincare tayari ila naona zinanikataa anyway nitumie njia gani au mafuta gani...
Nina mpenz wangu anapenda sana lotion, cream za kujichubua mfano calorite, carrotone nk ....mm hii tabia inanikera sana, nahitaji kufahamu ni zipi nzuri ambazo anaweza kupaka na isimchubue ngozi...
Tz hii sidhani kama kuna mkoa unaongoza kwa watu kujichubua kama Mbeya. Ukikuta mwanamke aliyejichubua kikweli anatisha. Sura inakuwa kama kokaragosi au kashetani hivi.
Lakini si wakulaumu...
Naomba kujua ni lotion gani nzuri ya kukinga mionzi ya jua, jua likiwa kali uso wangu kwenye mashavu nakuwa mwekundu, mi napaka mafuta ya mgando mwili mzima, sasa nimeona nahitaji lotion au mafuta...
Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo?
Kwasababu kwa...
Wale watu wa perfume uwa tuna code zetu tunapasiana.
Mimi nimekwama kidogo so natafuta perfect ya isizidi 50K ya kiume inayonukia kishefa.
Ukinitajia jina na location ya kuipata nitafurahi...
Jaman mi ni kijana wa kiume ni miaka mingi huwa sipaki mafuta kweny uso wangu kwasabab nilikuwa natoka vipele nikipakaa usoni Sasa nliwahi kumuuliza muuza daku la urembo,nguo,mafuta ya kupakaa...
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.
Jinsia yangu ni mme
Ahsanteni
Habarini wakuu!
Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet
Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie
Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara.
Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.
Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui...
kataa ndoa uishi miaka mingi ya furaha
Damka saa kumi na moja anza usafi wako wa ndani unapo lala deki choo chako vizuri sio kila siku kwa wiki ukifanya siku tatu sio mbaya
Baada ya hapo tandika...
Leo nawaletea changamoto nyingine ninayokumbana nayo baada ya kuzungumzia gharama za maji ya kunywa na umeme. Safari hii ni kuhusu gharama za usafi wa nyumba na mwili:
a) Usafi wa Nyumba (Eneo...
Habarini wana Jamvi..
Sawa ndevu ni kero ila zinaheshima yake.
Ukifika umri fulani ukawa hauna hii mambo bado utakuwa na wakati mgumu wa kupewa salamu hata na watoto wadogo. Umri unaenda harafu...
Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.
Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.