Habari zenu ndugu zangu....
Anayefahamu mahali pazuri pa kupata nguo nzuri za kiume Mbeya anijulishe kwenye comments.
Simaanishi sehemu yenye bei rahisi, namaanisha sehemu unayohisi umewahi...
Ngozi inaharibika sanaa ukizeeka pia Mbona kuna wabibi wana ngozi nzuri sanaa na wamezeeka tuache kutumia vipodozi vikali
Mwanaume atakupenda tu hata ukiwa wa njano au mwekundu ukiona hajakupenda...
Wikiendi iliyoisha nilikuwa kwenye jiji lenye fujo daslam. Hili jiji kila mwanamke unaekutana nae anatumia mkorogo.
Alaf wanatumia mikorogo bila kutumia sunscreen matokeo yake wanakuwa wekundu...
Mbao ngumu hupendeza machoni pia zina dumu kwa miaka mingi, wadudu si rahisi kushambulia mbao ngumu. Ni vizuri pia kuzilinda kutokana na kemikali pamoja na mwanga wajua pia maji ya mvua. Polish...
Wale waliosema black is beauty hawakukosea hata chembe na walikiona hicho wanachosifia katika uhalisia wake
Wanawake weusi bila kupepesa ni warembo na wazuri hasa wanapokuwa natural na vipodozi...
WANAWAKE wengi watakiri kuwa nywele za sehemu za siri ni kero hasa katika kudumisha usafi au kuonekana nadhifu wakati wa mahaba.
Sababu hii imewapelekea wengi kutafuta mbinu na bidhaa mbalimbali...
Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
Habari zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe...
Kuna mitindo mbalimbali ya unyoaji wa nywele za kichwani. Kuna panki, kipara, mtindo wa nywele saizi ya brashi, kuna mtindo wa nywele za kuota (low cut) nk
Tuambie wewe huwa unanyoa mtindo gani...
Leo tunashabikia wanaume wenzetu mastejini na mitaani huku wakiwa wamejiweka katika viashiria vinavyoendana na mambo ya kike.
Ndio maana mademu wanawadharau siku hizi maana mna act kama wao...
/* insert salam here */
Wengi tumewahi kuishi au tunaishi kwenye single room. Leo tupeane tips z kufanya ghetto lako liwe safi na la kuvutia kwako na kwa wageni.
[Tips zitatofautiana kutokana na...
Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu.
0713776534
Hili vazi la kijora ambalo huwa linazungumziwa sana na waswahili na watu wa pwani ni vazi la aina gani?
Kijora kina utofauti gani na vazi la dera?
Kijora kinavaliwa na watu wa aina gani zaidi?
Wa- mbulu na wa-Iraqi wote ni ndugu!
Wakuu kumekuwa na kasumba ya kwamba,kila unapovaa kiatu ni lazima uvae soksi!
Binafsi soksi nilivaa wakati nikiwa shule kwasababu ilikuwa ni lazima kwakuwa...
It's JEJUTz here!
Ni kweli kabisa ni jambo zuri kuoneka mtanashati na mrembo popote uonekanapo.Ni jambo jema kuonekana wa kisasa na unaependeza kwa mpangilio wa mavazi yako l.
Ila kuna hii issue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.