Wote tunafahamu kuwa Baking Soda hutumika katika uandaaji wa vyakula kama keki na mikate. Lakini huwa na matumizi mbalimbali ya nyumbani ikiwemo kuwa mbadala wa kusafishia kinywa kwa kuwa na uwezo...
Hili jiko limeboreshwa, wengi walioishi kwenye nyumba za serikali alizoacha mkoloni walikutana na majiko ya aina hii. Yale ya enzi zile haya kuş na sehemu ya umeme.
Enzi zile waliotumia majiko...
Prom ni sherehe ya kumaliza mitihani ya NECTA. Nisiku ambayo vijana wanavaa mavazi wanayopenda na huwa wanapendeza sana.
Kijana huyu pichani aliamua kuvaa suit ya skirt, kitendo hiki...
Leo dogo anakata keki, ilikuwa safari ndefu sana kwake, kwani alirudia madarasa kadhaa.
Lakini hatimae amemaliza darasa la saba, familia tumejawa na furaha tele, kwani haikuwa rahisi.
Wadau wa...
Inawezekana nimezeeka sana au nimepitwa na wakati.
Je ni yapi maoni yako juu ya uwepo wa mavazi au viatu visivyo na jinsia yaani akivaa mwanaume ni sawa na akivaa mwanamke ni sawa.
Kuna jambo huenda watu wengi hawalifahamu . Umewahi kujiuliza mwanaume ujasiri wa kusuka kichwa anautoa wapi?
Umewahi kujiuliza mwanaume ujasiri wa kuvaa hereni masikioni au puani anautoa wapi...
Habari zenu wadau
Nimekuja kwenu ili nipate msaada nipate Tshirt plain hasa nyeupe ambazo nitazitumia kuprint tangazo kwa ya biashara yangu
Mara ya kwanza nilichukua Hot basic manga sababu ni...
Mwenye kujua Kadeti Bora Zaidi ya Vicobss? Naomba anijuze, usinitajie kadeti zilizopo huko ulaya, najua kuna kali zaidi ya hizi, ila naangalia zile ambazo ni angalau kwa mazingira yetuu...
Ndugu zangu natumai mko salama kabisa.
Matumizi
a. Baada ya kuoga/kuosha nywele paka mafuta yako kwa kutumia mkono.
b. Pia unaweza kupaka mafuta haya hata kama hujaosha nywele/kwa nywele kavu...
Wadada, wembamba!
Jitahidi kwenye kabati lako usikose cargo pants moja au mbili, mkivaa zinawapendeza sana.
Ukijua kuipatia na shirt au jersey na chini raba mnapendeza kinoma.
Kama una...
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani...
Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja.
Jamani vaeni suruali...
Hey There
"No Pain No Gain" kama wanavyosema wana mazoezi kuongeza motisha.
Watu wengi wamekuwa hawana uwelewa kuhusu mazoezi ya gym na aina ya wafanya mazoezi hao, wengi kibongobongo tunaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.