Udongo (100% Natural) wa asili, Zainab's Natural Super Clay, mzuri sana kwa ajili ya kulainisha ngozi ya usoni na mwilini na kufanya ngozi iwe nyororo na ya kupendeza, sasa unapatikana sehemu...
Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo.
Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
Habari wakuu, ni wapi Tanzania hii naweza kupata viatu / boots za Salomon original, kuna vya mtumba madukani, ni original kabisa lakini shida vinakuwa vimechakaa. Nataka kiatu kipya.
Nakumbuka miaka hiyo style ya Afro ilibamba sana mitaani,na watu walikuwa wanapendeza sana yani kitu natural hair,
Lakini sahizi hao wenye style za afro wanaweka dawa nywele mwanaume mzima nywele...
Jipatie bidhaa bora kabisa kutoka Óriflame kama mafuta ya kupaka(lotion) za watoto na wakubwa za kike na kiume ,lipstick, dawa za nywele ,after shave jelly na bidhaa nyinginezo kwa afya...
Kuna baadhi ya ofisi za serikali ukiingia umevaa suruali ya Jeans au kimini huruhusiwi kuingia.Sijaona kama ni tatizo lakini inakuaje hata kwa anaefata huduma tu kwenye ofisi hizo nae avae kama...
halafu unakuta mdada ame relax kweli, hata kuweka kitu kidogo ndani hamna!! sasa na hali ya hewa yenyewe ndio hii... upepo mwingi jamani!!
lets talk about this guys, je kwa wanawake, ilishawahi...
Kwa uzoefu wangu wa maisha ya mtaani, nimegundua wababa au wanaume wengi wakiwa nyumbani siku za mapumziko au siku yoyote, hawajiweki smart kama ambavyo wanafanya wakiwa wanatoka.
Nyumbani ni...
Wadau habari za Jioni.
Nisiwe na maelezo mengi sana Ningelipenda kufahamu ni Lotion gani nzuri kwa mwanaume ambayo itasaidia afya ya ngozi kuwa imara na kupunguza mabaka vipele na madoa madoa...
Habari, nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi.
Pia kuna...
Hii ni miongozo kwa wanaopenda kuvaa kadeti, fanya haya ili isipauke mapema.
☆Tumia sabuni ya kipande unapoifua usitumie sabuni ya unga
☆Igeuze nje ndani unapoifua
☆Usiianike kwenye jua anika...
Natumai wote ni bukheri wa afya mimi pia nipo okay kuna mdau kwenye post moja kauliza atumie nini,ana uso wenye Mafuta mengi oily face mimi pia nina tatizo kama Hilo.
Lakini now sio tatizo tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.