Wadau Habari zenu,
Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka...
Nimemwambia hivo dada mmoja jirani yangu nashangaa ananijibu eti "eeh kujenga nishindwe hadi kupendeza nishindwe" huku anajichekelea mwenyewe kwa furaha.
Nimeshindwa kuelewa perfume inamfanya vp...
Nipo maeneo flani hapa kuna bar nakula lunch yangu sasa hii bar bwana wadada wanavaa nguo fupi mno yani fupi.
Ila nimegundua kitu kimoja pamejaa wakaka na wababa wanaokula na wengine wanaibia...
Je, unayajua Matumizi mengi ya foili ya aluminium tofauti na kufungia au kufunika Vyakula?
Foili ina matumizi mbalimbali kama Ifuatavyo
1. Kunoa Mikasi
- Tumia foili kunoa mikasi iliyopoteza...
Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic.
Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana...
Mojawapo ya raha ya mme/ mwanamme ni kumpa zawad mwenza asiyotarajia na akaifurahia.
Na kati ya lawama za wanawake dhidi ya wenza ni tabia ya kutoa taslim mwenzako akajinunulie kila kitu kila...
Mazee Nina Pafyumu Sita, ila Nahisi zote Ninapigwa na kitu kizito .
Hazikai muda mrefu kwenye Nguo yaan unapuliza ,harufu sawa inaweza kua nzuriii ya kuvutia lakini hazikai muda mrefu...
wadau nimejibana atimae nimejinunulia zawadi ya set ya WIX pamoja na scrub. Ningependa kujua kama kuna wadau wengine humu wanatumia wix je kuna kitu niongezee ili niwe msupuu zaidi[emoji3059]...
Habari
Mimi ni mwanaume rijali lakini kisema ukweli mimi sipendi nyusi na nafikiria kwenda kuzinyoa.
Najua inaweza leta tafsiri mbaya lakini kwa kweli mimi nachukia nyusi ni bora tu nizitoe.
Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu...
Wakuu salaam.
Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii.
Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada.
Kama...
Habari za jioni Wana Jf
Kwa wale ambao mara kwa mara mnapata huduma katika hizi saloon za kisasa, mtakuwa mnafahamu vyema huduma zitolewazo mule.
Baadhi ya saloon ukigoma kufanya scrub...
Wakuu habari za weekend?
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mwanzo nilikuwa na nywele nzuri kiasi (kipilipili)baadae nikaona niwe napaka super black.
Cha kushangaza nisipopaka super black...
Mimi ni mtu ninayependa kuvaa vizuri na kula vizuri. Kumbukumbu zangu zinaonyesha mara ya mwisho kununua mtumba ni miaka mingi ishapita hata zaidi ya 10. Nilijiambia bora niwe na nguo chache ila...
Changamoto ya harufu nzito ya uvundo wa jasho kwenye nywele huwa kero na usumbufu kwa wasio husika.
Kwa wazoefu, ni katika muda gani yafaa nywele kuoshwa, kusukwa tena bila kufumua na kuficha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.