Jumatatu, Juni 24, 2024
Muktasari:
Utafiti huo na tafiti nyingine zitawasilishwa kwenye kongamano la kisayansi litakalofanyika Juni 27-28, mwaka huu.
Dar es Salaam. Imebainika kuwa zaidi ya...
Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni...
Masikini wezangu, kutokana na mgomo ambao umetangazwa na wafanya biashara wa Kariakoo wa kutofungua maduka mpaka changamoto zao zitakaposilizwa na Serikikali,
Mimi mwenyekiti wa Masikini...
Ushawahi jiuliza siku nitoke vipi? Au kila siku unavaa style moja ya mavazi hadi watu washakuzoea? Sasa kuna hizi dress code tano (5) siku unaweza kuzijaribu.
1. Kuchomekea jeans na shati mikono...
Mimi nina allergy na perfume nikitumia huwa napata mafua makali na kichwa kinauma baada ya kupata kazi karibu na duka la perfume nikawa nafanya utafiti perfume zipi ambazo zitanifaa
Hizi ni...
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke...
Ni mavazi gani hasa umewahi kosea kuyavaa inavyostahili, sio kwa makusudi, ila labda kwasababu ya haraka, kujisahau au giza wakati wa kuvaa, na matokeo yake wakati wa kuvua ndio unagundua ulivaa...
Wakuu,
Kwa wale wanaosumbuliwa na uso wa mafuta hasa ule ambo ni rahisi kupata chunusu (acne prone skin), tumia mafuta ya ubuyu bila kuchanganya na chochote utakuwa umemalizana na tatizo lako na...
Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav?
Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita. Hii tabia sipendezwi nayo, inatutia tu akshi asubuhii.
Kwani hizo chupi huwa...
Habari zenyu kwema?
Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2...
Akina Dada kuweni makini mnapo changanya mikorogo huyu Dada kachanganya zaidi ya 8 na sabuni ya unga pia kaweka
Akatengeneza chemical ya sulphur acid bila yeye kujua inasemekana baada ya...
Wakuu, kwema?
Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa...
Ni muhimu sana kua karibu na mwenzi wako mkizungumza na kubadilishana mawazo, kwa karibu sana tena kwa kujiamini sana.
Ni muhimu sana muonekano wenu, uwe wa kupendeza na kuvutia ninyi wenyewe na...
Nilishangaa sana baada ya kukutana na hizi bei tena wanakuwekea na taster hizo nilizozishika ruksa kujipulizia zina harufu poa sana
Dah wenye pesa wanafaidi vilivyo vizuri
Wakuu, am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona ni vyema niwe na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi.
Nataka mazoezi niwe nafanyia home...
Wakuu.
Hii nchi ni huru, kila mtu ana ruksa ya kuvaa nguo yoyote anayopenda kikubwa asivunje sheria tu za nchi.
Ila kuna baadhi ya mavazi, mwanaume sio vizuri kuvaa na kutoka nje kutembea nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.