Hii Dunia haiishi viroja.
Huku Dada zetu, Wabantu kama mimi wakipishana kuingia Maduka ya Vipodozi hadi wengine kufikia hatua ya kujidhuru kutokana na kupaka mikorogo isiyo ya viwango maalum...
Nimekaa na dada mmoja mrembo safarini kwenye seat ya bus amejichubua, ila kama ilivyo ada vidole vya miguuni na mikononi bado vyeusi.
Sasa shida huwa ni nini eneo hilo la ngozi kuendelea kuwa peusi?
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha.
Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi...
Afrika ni Nchi tatu tu zilizo Pata mataji ya walimbwende duniani south Africa, Nigeria na Egypt.
👸🏻 Miss World titles:
🇮🇳 India: 6
🇻🇪 Venezuela: 6
🇯🇲 Jamaica: 4
🇬🇧 UK: 4
🇿🇦 South Africa: 3
🇺🇸...
Habari wakuu, nguo ni mojawapo ya mahitaji matatu muhimu. Ni hitaji muhimu lakini bajeti yake nayo inabidi ichungwe hasa kwa kina sisi ambao bado uchumi haujawa stable.
Huwa nasikitika sana...
Hair dye reactions
Many hair dyes contain ingredients that can irritate your skin or cause an allergic reaction.
It's important to be aware of this risk, and know what to do. Reactions to hair...
Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe.Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi...
Habari Ya Asubuhi JF njooni hapa mjue Mavazi Ya Mwanamke Mcha Mungu kama mada ilivyoelezwa
MAVAZI YA MWANAMKE MCHA MUNGU
[emoji810] [emoji810] [emoji810] [emoji810] [emoji810] [emoji810]...
Katika vitu ambavyo vinafanya uonekane smart ni kiatu ulichovaa, kama umevaa kiatu kibovu basi hata juu utupie vipi watu watakuona mchafu tu.
Naombeni mnitajie raba au kiatu ambacho kinadumu na...
Leo nimegundua napenda sana mwanaume akivaa kanzu. Kanzu ina usexiness fulani hivi sijui kwa sababu asili yangu ni Pwani.
Kanzu nyeupee halafu awe ananukiaaaaa...na makobazi fulani. Huwa...
Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.
Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.
NB...
Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama.
Mimi naamini huwa...
HABARI KINA DADA WOTE
Kina dada wengi hawana tamaduni ya kufanya mazoezi.Wengi wao wamekuwa na vitambi na kuzidi kuongezeka kila siku.Ni nadra sana ukute dada mrembo mwenye watoto wake wawili...
Hello beautiful ladies, ebu tuambizane unapaka dawa gani kwenye nywele zako,na pia unazitunza vp nywele zako baada ya kuweka dawa, kama unafanya steaming unatumia steaming gani na baada ya muda...
Katika ibada ya mazishi ya Dkt. Kamala, wasomi wenziwe waliamua kuvaa full Academic gear kuonesha usomi wa marehemu Dkt. Diodorus Kamala. Sasa msomi mmoja, tena yuko mbele kabisa , KAVAA RABA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.