Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wadau, Naomba tujuzane pafyumu nzuri za wanawake na wanaume ukiweka na bei itakuwa poa sana.
0 Reactions
136 Replies
67K Views
Wasalam.. kama head inavo jieleza maalum kwa perfume ,fragrance,body sprays na manukato aina zote kwa kuanza kabisa naweka hizi chache kama kuna zingine sizijui tujuzane #victorious silver (men)...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Leo nahmn nmeikumbuka zamani, Nimeyakumbuka maisha ya zamani, Japo naonekana mshamba mbele ya kadamnasi ila nmeitamani zamani. Nimetamani kuyaishi maisha yale Zamani akina mama walivaa nguo ya...
5 Reactions
12 Replies
787 Views
Salaam! Ni njia zipi unatumia kulinda usafi wa kinywa chako na kufanya mdomo usitoe harufu. Kuna kuswaki kila baada ya mlo lakini wakuu imagine unaswaki asubuhi na jioni during day ila tambua...
9 Reactions
146 Replies
11K Views
Wakuu Nywele zangu ni waved lakini kidogo sana naombeni njia ya kutengeneza matuta makubwa kwenye nywele.
1 Reactions
5 Replies
409 Views
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona...
11 Reactions
363 Replies
51K Views
Nasikitika sana kuona hakuna udhibiti wa bidhaa feki hasa kwenye bidhaa za mwilini, bidhaa halisi na bora zinapotezea sokoni badala yake bidhaa feki zimetawala soko la nchi. Miaka nenda rudi haya...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe. Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi...
0 Reactions
2 Replies
552 Views
Ufugaji wa ndevu ninaamini tuliuanza miaka kadhaa. Kabla yetu walifuga wazee wetu. Nimeamua kukata na kuwa na kidecu na mdogo kama uch.i wa mbuzi. Kunyoa ndevu zote kunafanya unakuwa sura kama ya...
2 Reactions
11 Replies
864 Views
Habrini wandugu, Mwanadamu amepewa utashi ili ajitofautishe na viumbe wengine inakuaje mwanadamu unaruhusu watu wakose amani kukaa na wewe karibu kwasababu ya harufu ya mwili au kinywa? Harufu...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri. Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi. Kwa kweli ni mfuko tu...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani hali gani? Niruke kwenye hoja yangu. Mimi ni mwanaume handsome tu safi, ninajua kuvaa na nina vihela vya kubadili mboga na tugari. Nimekuwa nikipata shida mno kupata mwanamke wa kuingia...
6 Reactions
99 Replies
7K Views
Hivi wanaume tumekuwaje? Tunapenda sana kuwalaum Dada zetu hawasafishi nyeti zao ila hata sisi tunashida kwenye usafi binafsi Unakuta mtu nguo ya ndani hafui naakifua anavaa ikiwa mbichi bafuni...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari tajwa... Kama ilivyo hali ya jua sasa ni likali sana, sio kwa wakazi wa Dar tu na maeneo mbalimbali... Sasa nasema hivi unaanzaje kuacha kuoga na jua...
21 Reactions
133 Replies
5K Views
Habari wanajf By the way mimi ni mweupe Ndio rangi yangu halisi Ila rangi yangu ya uso imebadilika nimekuwa maji ya kunde lakini sehemu zote zilizobakia rangi yangu imebaki Ile Ile nyeupe so...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Ila mikoani wadada kusema kweli mnatisha kwa jinsi mnavyojipodoa , mikoani ni mimi na wasiojipodoa unawakuta wapo natural na rangi zao za bilingani. ILa wanaojipodoa wanaharibu kila kitu hujui...
0 Reactions
3 Replies
658 Views
Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani. Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Sasa msimu wa mvua ndo huo umeanza yaani shikamoo mvua! Msimu huu ni msimu ambao kwa suala la kufua nguo hua ni mgumu sana. Sababu inayopelekea kuwa...
11 Reactions
81 Replies
3K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Hakika sipendi unene, ila ndio ivyo unakujaga tu wenyewe. Ila uzuri mimi sina kitambi ila ndo hivyo nimeongezeka uzito. Ili kupunguza uzito basi...
10 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari, Husika na kichwa cha habari tajwa, Baada ya nguo za kubana kuchukua nafasi ya mtindo uliopendwa sana... Si wanaume Wala wanawake walivalia mtindo wa kubana suruali. Wakabana na...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
Back
Top Bottom