Mimi ni mpenzi wa vikoti fulani hivi vya kubana kwa mbali, hasa kutokana na umbo langu la mwili mwembamba kiasi.
Naomba kujuzwa chimbo kali la suti za Kikorea kwa Dar, ahsanteni na karibuni.
Men and grooming have finally become great friends in the last few years.
Ever since the likes of Saif Ali Khan made meterosexuality a fashion statement, men have been rushing to salons, spas and...
Poleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze.
Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya...
Hivi mnaotembea na kutingisha mzigo ni urembo au ni kitu gani,naona sielewi ,kusema kweli wananishughulisha vibaya mno kitu gani kinawafanya wawe wanaendaga kama wanakasolo.
Habari wadau kwema, niende moja kwa moja kwenye mada, ipo hivi naomba kujua ni mafuta gani? Yatanifaa kwa mtu kama mimi mwenye uso wenye mafuta,
Chunusi zinanisumbua kila nikipaka mafuta usoni...
Jamani natamani ninunue iPhone, ila nakatishwa tamaa na watu wanaoniambia App zake na android haziko compatible.
Mara nitashindwa kushare docs na mtu wa android mara kuna applications ambazo...
Habari wakuu,
Kuna wanawake baadhi wanatabia ya kuburuza viatu.
Utakuta anatembea anaburuza viatu yaani watu wanamshangaa..
Yeye anaona ni kawaida tu anaburuza mayebo yake...
Mdada mzuri...
Pole na hongera ya nguvu kwa majukumu ya leo ndugu mpamabanaji na muwajibikaji.
Langu ni moja tu, nalo ni hili. Hivi mtindo wa kujipima mathalani, unanunua suruali au sketi halafu eti unapima...
Habari zetu,
Mimi nina makovu miguuni na mikononi yaliyosababishwa na vipele vya allergy, nitumie nini yaweze kuisha sitaki kutumia mafuta makali.
Mimi ni mweupe wa kawaida.
Sent from my vivo...
Mwanaume ni sifa, mwanaume ni kiongozi ebu ifike hatua wanaume tujitambue na tutambue nafasi zetu katika jamii.
Hii tabia ya wanaume kuvaa vinjunga inaniboa sana, yaani sasa hivi kuvaa vinjunga...
Wakuu,
Hili jambo limekuwa likinishangaza sana, mwanamke anaetengeza nywele zake natura anaambiwa mbona hujasuka, ingekuwa rasta ndio ingekuwa sawa na ungependeza, ingekuwa wigi ndio ungekuwa...
Morning
Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua.
Mwanaume kuwa msafi...
Habari,
kwanza niipongeze serikali kwa kufungia tovuti zote za video za porn( maarufu kama X videos) uamuzi huo umefikiwa leo tarehe 19/7/2021, ambapo tovuti zote za ngono zimekuwa burned na...
Hivi karibuni nilianza mazoezi ya squat lengo likiwa nikujimarisha viungo vya chini kama mapaja na miguu
Lakini nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa mazoez ya squat kwa mwanaume yanasababisha...
1. Ulikuwa na umri gani na ni nini kilisababisha kujua kuwa wewe ni mrembo?
2. Baada ya kujua wewe ni mrembo ulichukua uamuzi gani?
3. Je, unadhani urembo wako umekupa faida gani ya msingi...
Habari wakuu
Siku chache zilizopita nilitembelewa na mgeni nyumbani. Alikuwa amejipulizia manukato/perfume ambayo harufu yake imebaki kwa wiki nzima sasa kwenye sofa aliyokuwa amekaa.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.