Wakuu habari za majukumu, binafsi ninasumbuliwa sana na mba kwa miaka mingi ni mba wa kichwani unashuka hadi usoni. Nimeshatumia dawa za pharmacy zinanisaidia kwa muda mfupi then unarudi tena...
Habarini za Ijumaa wana mazoezi na wadau wote,
Eti kujipulizia unyunyu muda wa kwenda mazoezini huwa kuna muingiliano na performance nzuri kwenye mazoezi?
Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo?
Boxer imekuwa nyeusi tii...
Habarini wana jamii,
naomba msaada wa kuyajua haya mafuta tajwa hapo juu. Nahitaji mafuta mazuri ya kung'arisha mwili mzima ambayo ntachanganya na lotion au ntapaka juu yake.
Nataka kufahamu...
Habar zenu.
Mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke, inaninyima confidence kabisaa
Kama dermatologist yupo anisaidie...
Hey Guys! Mmeshindaje?
Nimenunua hii lotion leo, kwenye instructions naona imeandikwa “ smooth on hands and body as often as needed..”
Ina maana haifai kwa matumizi ya uso? Inaleta madhara...
Habari za wikiendi?
Naomba kuuliza wadada/wanawake wote hasa wa Tz imezuka tabia mbaya sana ya kuacha mabega wazi kwa magauni/blauzi zao?
Lengo ni kitu gani waonekane wana Chuchu saa 6...
Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu.
Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!
Kwanza kabisa nipende kuchukua nafasi hii kusema ya kwamba ujumbe huu si kwa wanawake wote bali ni baadhi ya wanawake tu.
Kumekuwa na wimbi kubwa la...
Natumaini wote tumewahi kusikia au hata kuona mtu akiwa na tatoo kwenye sehemu fulani ya mwili wake.
Je, kwani tatoo ni ngumu sana kufutika??
Kwanza kabisa ni muhimu kujua kua tabaka la juu...
Wakuu,
Hivi kuvaa shati la kubana kwa kiasi hiki ni fashion sahihi au linapaswa kubana kiasi gani?
Wataalamu wa fasheni mnasemaje Je inapendeza?
Ahsante.
Nilishangaa nilipokutana na mdada ambae tunajuana miaka na miaka, leo nashangaa ana mwanya, khaa, haya kautoa wapi? Wanachonga meno au wanatanua? Lakini pia wanatafuta nini?
Aisee Jana nimetoka safarini from Dar to Arusha kuja kusherekea kristmasi nilipanda marangu coach alfajiri saa 11:45 safari ikaanza mwanzo ulikuwa hauna shida tulisafiri mpaka saa 7 tukaenda...
Nguo za dukani vs mtumba zipi nzuri ili nipendeze jamani, najiona nipo local sana!
Muonekano wangu ni mwembamba wa wastani, mrefu wa kati maji ya kunde, nina kashepu kwa mbali, napenda magauni...
Nimezaliwa kijijini ambako maadili ya 'kiuanaume' yanalindwa sana. Moja kati ya meeengi ya kiuanaume ni kwamba ndevu unanyolewa na mkeo tu au mpenzi wako. Kwa maneno mengine ni kwamba unyoaji wa...
Habari wakuu,
Kumekuwa na aina ya viatu vingi vya plastic ambavyo watu huvaa na kupendeza.
Hapo nyuma kidogo viatu hivi vya plastic ilikuwa vikiitwa yeboyebo.
Watu waliokuwa wanavaa...
Habari,
Husikia na kichwa cha habari hapo juu,
Kumekuwa na fashoni fulani la wanaume kuachia midevu kama wehu.
Hii fashion Kuna wenye kipilipili originali Hawa wanakuwa kama wehu.
Yaani Kuna...
Habarini wakuu,
Nimewakumbuka,
Kwanza nafaurahi kurudi JF baada ya muda,
Twende kwenye mada tajwa hapo juu, ni ukweli kwamba dread locks ni nywele nzuri hasa kwa wanaojua kuzitunza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.