Kichwa kimenyooka bila shaaka, asee mimi naongea na wewe mwamba unaefuga kucha yaani kucha ndefu mkono mzima hua mnayatumia vip.
Au huwa mnafeel vipi mkijiona na izo kucha wazee, mimi nimejaribu...
Binafsi, je naenda kukutana na nani?
Hilò ndio swali namba 1. Swali namba mbili huwa je anajua nini kwenye mitindo na fashion?
Basi napenda vitu unique, yaani niwe wa kipekee ndio maana...
Watu wengi now tumekalili suruali tunavalia kiunoni when in effect it's hips na kiuno kipo kw kitovu that's why baba na Babu zetu suruali ndo walikuwa wanavalia juu kabisa na kutuona cc wahuni...
Hali?
Niliketa uzi humu siku chache zilizopita kuhusiana na tiba ya nywele nyekundu/njano na nashukuru wengi walijitoa kunishauri kwa uchanya.
Baada ya kuwaza na kutafakari sana, ikiwa ni pamoja...
DALILI ZA MTU ASIYETAKA KUBADILIKA
1. Akielezwa mapungufu yake ya kweli-
(a) ananuna;
(b) Kama ana wajibu wa kutekeleza jambo fulani, Anasusa ili mteseke muone umuhimu wake, muache kumkosoa...
TIBA MBADALA NA BUJIBUJI
Hamna kitu inakera kama kwenda ugenini huku ukijua wazi kabisa kuwa miguu yako inatema chechex hadi moto unaweza kuwaka kwa harufu Kali.
Kama unajijua unapitia tatizo...
Wakuu, yani wadada kusikia utabiri wa hali ya hewa kwamba maeneo ya pwani kutakuwa na upepo mkali wa wastani na mawimbi ya bahari kufikia hadi mita 2 ,
Basi wameamua kuvaa nguo fupi alafu...
Habari za mda wadau wa forum hii pendwa. Bila ya kuwachosha na kujichoshq mimi mwenyewe niende moja kwa moja kwenye kile ambacho kinaendelea.
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la...
Hello JF members....kama heading inavojieleza,Nipo shop moja kubwa ya cosmetics hapa mjini right now, nataka nunua Body spray ...je unanishauri ninunue spray ipi kali yenye manukato mazuri?karibuni..
Leo nimeshuhudia wigi la mdada limeanguka baada ya kunata kwenye mlango,aisee ki ukwel ana kichwa kibaya saaaaanaa.
MY TAKE
Kama ni mdada na unavaa mawigi ongeza umakini usije kuaibika kama una...
Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.
Kuna siku...
Wakuu.
Mimi asilimia 80 ya madundo a.k.a viatu nannuliaga bar...hawa chingaa wanaopitaga bar huwaga wanatushikaa kwa kweli...ni experience yangu lakn kiasi huwaga siez endaa Sehem kuchagua viatu...
Relaxer ni dawa ya nywele inayofanya nywele za mtu mwenye ngozi nyeusi wa asili ya Afrika zilainike na kunyooka kama nywele za wazungu, waasia au waarabu, watu wengi hasa wanawake wanapenda...
Viatu tuu alivyovaa vinatia huruma, ina maana hata neutral ya 2k walishindwa kumnunulia angalau kiatu king'ae?
Nguo ndiyo usiseme, kapiga tshirt na suruali ya kitambaa. Buti ndiyo likaharibu...
Habari I Wakuu
Shida yangu ni moja.. Nina viatu vyangu brand "Clark" hvi majuzi vimemwagikiwa na mafuta ya nywele almaarufu "Olive" ambayo yamekuja kutengeneza madoa ambayo yameonekana ni magumu...
Mimi ni Kijana, Na haya ndio mavazi yetu, labda kwa kuwa Kila kitokacho Ulaya ni kinafaa Afrika.
Lakini pengine kina nisichojua, So naomba elimu juu ya maana ya vazi hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.