Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri.
Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani...
Hii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.
Tena vikaptula vyenyewe vina marangi rangi na maua maua.
What is this?
Ina shangaza ndio, na ina weza isiaminike lakini huo ndio ukweli. Maji ya mchele yana faida kubwa katika nywele una weza kuuliza kivipi na nani yame msaidia, ina semekana kabila la Yao kutoka...
Hivi ni kweli mnakosa 3000 ya kununua mkanda mpaka mfunge na kamba za viatu wengine mnatumia utambi wa jiko la mafuta kufunga suruhali zenu kweli vijana wangu mnakosa kabisa 3000 kununua mkanda...
Kwa wale mnaoishi maisha ya gym na diet, vip mabadiliko ya miili mnayaona?? Tunaomben ushauri hapa mazoezi yapi tufanye, diet twende nayo vip, ili kupunguza kilo maana zimeongezeka kwa kasi...
Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya).
Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke...
Rangi za mavazi (haswa za ndani) huwa zinaleta msisimko wa mapenzi, na kuna rangi zingine ukiziona zinakata ladha.
Rangi Kama:
(1) Nyeupe, mwanamke akija na rangi ya namna hii NALIA NGWENA huwa...
Mimi ni mnene mno.
Naomba kufahamishwa aina za mavazi akivaa mtu mnene anapendeza. Please ninaomba msaada kwenye hilo.
Ila ikitokea nimevaa vest nyama za mbavuni zina hang na kuchora mistari...
Hello wanajamii forum, mimi ni kijana wa kiume kweny 20s age, Nina changamoto ya kupata chunusi baada ya kupunguza masharubu wakat mwingne yanakua magumu na kufanya upande mmoja wa shavu kuwa...
Habari,
Watu wa masuala ya urembo na utanashati.
Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata...
Yani nikitoka kuoga nikijifuta kichwani nywele zinabaki na vipamba vyeupe na ni vigumu sana kutoka.
Kwa mataulo ya mtumba mimi niliyashindwa, yani nikifikiria tu kwamba mtu kalitumia kujifutia...
Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi...
Unamkuta mdada kajikoboa ,make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake ila ananuka kwapa, jasho mpaka unahisi kichefuchefu.
Mbaya upande naye kwenye daladala yaani una suffocate...
Wakuu habari za majukumu.
Nisiseme mengi sana, ni nani alisema/kutuambia bwana harusi anatakiwa kuvaa suti wakati wa harusi?
Maana naona kila mwanaume anayeoa anavaa suti.
Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka/rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengele ni...
Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.