Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale...
Kwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na...
Ni mara kadhaa nakutana na nguo ikiwa na kidude chenye lebo au maandishi ya kumtaka mtumia nguo kukikata au kukiondoa kabla hajafua au kuivaa nguo hiyo.
Nauliza je kama pana mtu ameshakutana na...
Kila aina ya mavazi ina sehemu zake maalumu kuvaliwa. Kuna kituo kimoja maarufu cha tv watangazaji wake wamekuwa wakiingia studioni na mavazi ya kidini kuanzia kichwani hadi miguuni.
Je ni...
Habari wapendwa nilikuwa naomba kwa mwenye kufahamu namna ya kutengeneza lotion za kun'garisha serum lotion za kuondoa sugu nk. Anipe darasa au connection wapi wanafundisha
Naziona sana aina hii ya nguo, ama kwenye mwili wa mwanamke au madukani.
Kitamaduni nguo hii ni maalumu kwa ajili ya kuuficha uchi ili usionekane kirahisi na kuutia joto ubaki na vuguvugu.
Naona...
bei cheee
nauza hivi vifaaa kwa bei poa
dryer 150,000, stima 80,000 , viti 50,000@, chanja za ukutani 35000@, Kioo 70,000 ( kina crack kidgo. na vingine
wife kapata ajira rasmi anauuza
ukinunua...
Hii ni "Jeans" ambayo imepewa Jina la Balenciaga Men Destroyed na inapatikana kwa thamani ya dola 2,450 ambazo ni zaidi ya Shilingi milioni tano (5.700.000) za kitanzania.
Sent from my TECNO...
Wakuu ndevu zangu naona haziko na color nzuri, so nahitaji nipate superblack nzuri ambayo ni special kwa ndevu au any black material ili ndevu zangu ziwe na muonekano mzuri zaidi.
Ipi ushawahi...
Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ...
Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio...
Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi...
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima...
Unakuta binti mrembo kabisa kaajaliwa ngozi nzuri kabisa, sijui ni nini huwa kinawawasha mpaka wajione wao sio warembo hadi wapake haya mimi nayaitaga majivu.
Kuna siku nimemwambia wife jiandae...
Hivi wanawake mnajua mwanaume akiwa anakupenda anakuona mrembo sana kama hivi hii sura ya2 ila mcheat, mfanyie vituko, haijalishi wewe ni mrembo umejipamba ajae ila atakuona kama ilivyo kwenye...
Nimekumbuka miaka ile, kulikuwa na sabuni nzuri sana za kuogea. Mnaikumbuka Geisha? Sabuni flani hivi kubwa haswa. Ilikuwa sabuni nzuri sana.
Pia kulikuwa Revola, nilikuwa navutiwa na tangazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.