Halo JF nipo jukwaa hili.
Hivi chumbani unapolala huwa una vitu gani na gani? Vipi mpangilio wako wa vitu.
Huwa unakumbuka kupangilia au ndiyo mambo mengi siku moja moja unadeki 😅😅😅 ninacheka...
Mambo zenu jamani.
Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi...
Wadau wenye kujua napoweza kupata hii hand cream anielekeze. Wife alipewa na ndugu yake from USA
Cream inakaribia kuisha ina harufu nzuri sana tena ya kishua kweli kweli. Naitafuta aweze kuwa...
Habari zenu ndugu wana JF,
Hakika naandika hili jambo nikiwa nimekwazika sana, hivi inakuaje mwanamke wa ki analog unakuwa mchafu sehemu ya papuchi, dah maana kwa nilichokutana nacho leo sina...
Hello mamboz JF,
Nauliza swali tu katika pitapita zangu na kuishi mikoa ya pwani wanawake wengi mikoa ya pwani hawana minyama uzembe.
Hivi wao wanaishije na wana lishe ya aina gani, wana miili...
Wana ndugu majuzi nilikuwa airport kumpoke aabiria wangu gafla nikaona vijana wawili wote wamevaa hereni si mbaya...ila kuna mwingine huyu alikuwa amevaa kikuku kwa wale wanaojua ni hereni za...
*EXOGENOUS OCHRONOSIS TATIZO LITOKANALO NA KUTUMIA CREAM ZA KUBADILISHA RANGI USONI*
Hii ni hali ya ngozi ambayo husababishwa na matumizi ya muda mrefu ya bidhaa za kubadilisha rangi ya ngozi;Hata...
Wakati nikiwa mdogo wazazi wangu walinitoboa kla sikio kishimo kimoja. Mimi nimependa kuongeza, nimeenda kuongeza kla sikio vishimo viwili jumla vimekuwa vitatu kla sikio. Sasa leo mama ameniona...
Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone...
Hello,
Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.
Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi...
Vifuatavyo ni vitu vya kuzingatia unapofanya DAILY SKIN CARE ROUTINE yako yaani ASUBUHI na JIONI.
WAKATI WA ASUBUHI
Wakati wa asubuhi ngozi zetu huathiriwa sana na environmental damages kama vile...
Natafuta perfume original ya kike. Sitaki hizi feki au copy zilizozagaa.
Bajeti yangu ni elfu 50 naweza pata perfume gani na duka lipi?
Wauza perfume nyuzi zenu nishazipitia.
Kwa mtu wa aina hii bila kujali hadhi yake unaanza kuona ni heri awepo paka aliejipumzikia pembeni kuliko yeye. Haya sio mambo madogo kwa mtu mzima, ustarabu ni jambo muhimu na heshima ni kitu cha...
Hello!
Kwa Wadada, kama unatafuta wanaume wenye sura nzuri, gentleman na wa ukweli Basi hama haraka hapa Tanzania na nenda mojawapo Kati ya Nchi hizo hapa 👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.