Mmeamkaje wana jukwaa?
Moja kwa moja kwenye mjadala wetu hapo.
Nataka mnunulia baby mama mafuta mazuri sambamba na unyunyu kama zawadi. Naombeni ushauri wa aina nzuri ya package upande huo...
Hapa panawahusu wadada so naomba nijibiwe na wadada.
Mie sio mtaalam sana wa vitu vya kike vilivyo kwenye trend. Ila nataka kumnunulia wifi yenu zawadi kwa ajili ya valentine so ninataka kununua...
Habari zenu wapendwa?
Naomba mrejesho kwa mtu aliyewahi kutumia Goldie face cream, maana Mimi nina chunusi sasa nimeenda cosmetic wamenishauri nitumie hii face cream.
Yaani hata uoge vipi ka harufu kako katakuwepo tu, wewe huto kasikia, watakasikia watu wa pembeni yako.
Hata ujisugue mwili mzima na limao katakuwepo tu. Ukido, kanahamia na kwa mwenzako...
Imekua ni utamaduni kwa wanawake kunyoa sehemu za siri na kubakiza upara kabisa, hii inaweza kusababisha kushambuliwa kwa urahisi na bakteria.
''Unavyonyoa sehemu za siri, unasababisha usumbufu...
Wakuu salama hapa
Mi kijana wa miaka 34 January 2023 natimiza 35
Nimetokewa na mvi kwenye ndevu ghafla nimeipenda hii hali nahitaji kabisa hizi ndevu zote ziwe nyeupe kabisa na huku kichwani...
Nina shida na kununua kadeti ila naona nyingi zilizojaa dukani ukivaa baada ya muda zinapauka balaa.
Nataka kujua aina ya kadeti nzuri na zisizopauka na sehemu yake zinapouzwa na bei yake.
Nipo Dar
Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma!
Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
Nimekuwa nayatumia haya mafuta huku sehemu ya baridi. Lakini leo nimejiangalia kwenye kioo nimekuta ngozi ya uso haifurahishi na imetoka vidoa vyeusi!
Je, mnaotumia nanyi mnasemaje?
Ulishawahi kujiuliza labda ndani ya 60s, 70s, 80s au 90s kwamba kipindi hicho kama wanaume walikuwa wakipagawa na makalio makubwa ya wanawake kama ilivyo sasa?
Je, wanawake pia waliweza...
Habari ya 'weekend' wakuu?
Mimi nimekuwa mpenzi sana wa uvaaji kofia. Na kofia ninayoipendelea zaidi ni zile wazungu waziitazo Ivy Caps.
Lipo jambo moja ambalo nimelishuhudia tangu ninakua, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.