Sina Nia ya kuishusha heshima na thamani ya mwanamke! Ila najiuliza...
Hivi mwanamke ili uonekane mrembo ni lazima ujitoboe toboe kila sehemu ya mwili wako?
Dada yangu Ili uonekane Unique ni...
MUONEKANO
Muonekano wako ni muhimu sana katika haya maisha yetu ya sasa. Kuvaa kwako ni muhimu sana na kunaongeza thamani ya utu wako. Kuna watu wanavaa tu ili mradi wamevaa lakini kuvaa vizuri...
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima...
Kweli sio jambo zuri kuuchukia muonekano wako. Mtu mzima na heshima zake, hapaswi kutembea huku akijishtukia kuhusu umbo la pua yake ya kwamba watu watalitambua na kulizingatia. Au mdada mzuri...
Habari zenu wakubwa..natumaini wote ni wazima
Hizi siku mbili tatu nimepata changamoto kwenye nguo zangu.Nguo zinabaki na madoa baada ya kuzipiga pasi,mpaka sasa nguo kama tano hivi zina madoa...
Members wote nawasalimu katika jina la JF,
Kuna mdau humu yeye hujisemea kwamba "Wanaume orignal tumebaki wachache" hii ina ka ukweli.
Huko mtaani vijana wa kiume wanashangaza sana, yaani kwa...
Wanamke kutamani kutembea uchi ama kuonesha maumbile na makalio yao:-
(a) Wanasukumwa na nini nafsini mwao?
(b) Lengo lao ni nini?
(c) Ili wapate nini?
Dah baada ya mihangaiko ya wiki nzima, leo nilivyoamka asubuh ndo nikagundua jinsi gan geto lilivo chafu.
Asee mara ya mwisho kusafisha ilikua mwezi uliopita. Mabachela wenzangu mnachukuaga mda...
Nawasalimu,
Husika na kichwa hapo juu.
Sasa utandawazi unazidi kufanya wadada wachanganyikiwe zaidi. Kama mjuavyo mitindo ya mavazi mengi yanazidi kupamba moto kulingana na mitandao ya kijamii...
Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..?
Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua..
Baada ya kutumia muda mwingi kutafiti [kigooglegoole] masuala ya nywele na upara na mambo yanayohusiana na hayo, basi leo nimehamishia udadisi wangu JF.
Katika kupitiapitia baadhi ya nyuzi...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama mjuavyo miaka fulani ya nyuma wanawake walikuwa na pepo la kujichubua.
Walikuwa wanapaka mikorogo mikali wakawa wanaungua kana...
Makeup Ideas For African Women – Professional Makeup Ideas....
The rules of applying makeup on black women are very simple the moment you master the trick of choosing and blending colors...
Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.
Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.