Wakuu mimi binafsi natumia colget Advanced whitening kina ujazo wa 75mil si nyingi ila bei yake ni Tsh. 4,500 hii nzuri sana watoto wa Arusha utawakamata sana si unajua yale meno yao.
Je wewe...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,..
Kama muonavyo hali ya hewa kwa sasa ni kipupwe cha baridi. Hali hii ya hewa inasababisha ngozi kupauka sana na mafuta hayakai ktk ngozi...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu, Kama ilivyo katika watu wanaoongoza kuwa na nguo ni wanawake.
Hii yote hutokana na kutaka kuwa na muonekano mzuri na utanashati.
Pia...
Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili.
Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie...
Kinyaa ni hisia mbaya apatayo mtu anapoona uchafu, mtu asie na kinyaa ni mtu wa hovyo sana.
Kuona kinyaa yaweza enda mbali zaidi,
Mtu anaeweza kufanya mchezo wowote katika tupu ya nyuma kwa...
Hivi kwanini wanaume wafupi wakivaa suti hawapendezi. Hta hawakai vizuri wanakuwa km wametundikwa au wamefunikwa hawapendezi hta kidogo. Unaweza kusema ni kafurushi sijui cha nn. Wanakuwa...
Ee unajua kuwa msongo wa mawazo unachangia mafuta yako kugoma na uso wako kujaa chunusi kwa wingi. Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu msongo wa mawazo ama kama inavyojulikana sana “ stress”...
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Baada ya kupata visenti kidogo nimeona nibadili mafuta ya kupaka.
Na hii ni baada ya kuona mwenzangu aliyezeeka uso kawa kijana ghafla.pia ngozi imekuwa...
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Kama si kiherehere basi ni ulimbukeni wa wadada wengi linapokuja swala la mafuta ya kupaka hasa lotion na cream.
Utakuta mtu akiona mtu amepaka mafuta...
Nimekuwa Nikiona shati a drafts tu.
Najiuliza Kwa Nini sikioni hakuna t-shirt cotton nzuri lakini na zenyewe ziwe draft lakini nzuri za kisasa.
Kun mwenye ufahamu kuhusu vazi hili na Kwa Nini sio...
Wakuu kama kichwa kinavyosema,
Mi ni mdau mkubwa wa Chinos, ni suruali yangu pendwa. Sasa changamoto ninayokutana nayo ni ukishafua zaidi ya mara 2 tu, especially zile za dark blue basi inachuja...
Nimejaribu kuulizia sana kama hawa jamaa wana agent wao hapa nchini kwetu au Africa mashariki kwa ujumla sijapata, zaidi ninapata bidhaa zao lakini kiukweli sio original kwa zile ambazo...
Habari Jf,
Wataalamu wa ngozi na vipodozi mnipe maelekezo mazuri hapa.
🔷 Jinsia (me) rangi ya ngozi black chocolate, aina ya ngozi ni ya kwaida siyo kavu wala sijawahi kupata chunusi. Mafuta ya...
Habarini waungwa
Nina kiatu changu aina ya suede kimepigwa pigwa vumbi. Sasa nauliza namna ya kukisafisha maana naona hesabu ya kutumia maji kama viatu vingine inagoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.