Za jioni kwa mliopo Tanzania, hili suala naomba niliongelee leo,mficha uchi hazai najua sote twafahamu hili. Kumekuwa na machapisho mengi humu yanayoelezea upakaji wa mafuta makalioni kwa wanaume...
Wakuu, salamu,
Jambo linalonileta kwenu ni hayo inayoendelea sasa, zamani kdg nilianza kushangaaa idadi ya wadada kuvaa vikuku mguuni ikiongezeka sikuelewa ni nn, maana nachojua ni wamasai mara...
Habari wadau!
Naomba anayejua wapi naweza kupata zile pamba ila sio pamba halisi zinawekwa kwenye mito ya kulalia au ile mito midogo ya sebuleni.
Picha kwa uelewa zaidi
Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho.
Jana nimepita...
Habari ya muda huu wana Jamiiforums, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza., nahitaj kufahamishwa ni maduka gani/wapi naweza pata hizi kofia kwa hapa Tanzania.
Jamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano.
Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini?
Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
Mwaka huu nimejiwekea lengo la kuwa FIT. Nimeanza mwaka kwa mazoezi sasa hivi namaliza mwezi najisikia vizuri sana. Mazoezi sio lazima uende Gym. Hata chumbani au nje ya nyumba yako unaweza...
Ingawa leo hii high heels ni fashion kwa ajili ya wanawake lakini ukweli viatu virefu viliundwa kwa ajili ya wanaume.
Mwisho wa karne ya 16, ndipo high heels zilianza kutengenezwa huko Uajemi...
Ohhh nikipita nikimsimamisha mtu ananipuuza/
Ohh nikiongea hata point ni kama vile sisikilizwi/
Ohh nahisi wameniibia nyota...n.k.
Asilimia kubwa ya hawa watu huishia kutapeliwa na dawa za mvuto...
Maana Nyie Ndio kichwa Cha familia. Samahani naomba niwaulize. Hivi suala la mavazi ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje?
Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.