Kama kichwa inavyo jieleza am only 20 old but nywele zangu zimekuwa zikinisumbua zinatoka na kuacha vigepu kuna wakati nilikuwa natumia brush ngumu sana ya kuchania nywele nikahisi ndo chanzo...
Habari za mda wadau natumaini mko poa na mnazisubiri per diem za mama kwa shauku kubwa.
Kwa kuzingatia kichwa tajwa hapo acha nijikite kuelezea kero ninayokumbana nayo.Binafsi mimi kwa maisha...
Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+.
Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original...
Habari ndugu zangu? Nimetokewa na mistari miwili juu ya pua katikati ya macho sijui ndowanaita makunyanzi sasa naona inanifanya nionekane mzee, naombeni ushauri nitumie nn kutoa hii mistar au...
Siku moja nilikuwa nimeuzuri kikao cha kiutendaji na wanachama wa taasisi A.
Karibu yangu nilikuwa nimekaa na mbaba mmoja, ana kama miaka 45 hivi. Ni mtu mwenye nafasi nzuri tu, na kipato si...
Perfume ya Pheromone Na MARILYN MIGLIN KWA wanaume Pheromone na Marilyn Miglin Perfume. Feromone ya kisasa na ya kiume zaidi, inafurahisha hisia za wale walio karibu nawe kwa mchanganyiko wake wa...
Ni muda wa miezi takribani miwili Sasa nipo nipo nyanda za juu kusini uku mkoani Mbeya Kama mnavyojua hali ya hewa ya uku kwa Sasa baridi, upepo na vumbi Kali ndo muda wake hivyo nimejikuta ngozi...
Nawasalimu kwa jina la JMT, wakuu poleni kwa yaliotukia kuhusu mwaka mpya wa serikali naamini mama ameyasikia na watayafanyia kazi.
Wakuu kwa heshima na taadhima naomba mnisaidie kupata mitindo...
Habari za muda huu wakuu, hope mmeamka salama.
Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada. Kuna jambo moja ambalo linanipa kero sana ni kwamba nimekuwa nina nywele laini kiasi kwamba...
Unaweza kuvaa vitu expensive au hata vya bei rahisi ukapendeza, lakini kuna vitu ambavyo ukivivaa au ukavifanya hata kama ukiwa umevaa vazi la mamilioni bado unaonekana cheap. Yes na wengi wetu...
Za jioni
Wanaume mnao vaa pensi saluti kwenu kwanza mna pendeza Sana na zaidi mupo romantic. Kwa hilo nawasifia
Ninyi mnavaa malonyalonya ya mtumba mnavaa suruali pangilieni nguo halafu msisahau...
Kuna mwalimu mmoja rafiki yangu (ke),ana dread nzuri sana ni ndefu na zinang'aa lakini anafunga kilemba anapoenda kazini na akirudi hukitoa.
Mwanzo nilidhani labda ni style kaamua lakini baada...
Brand ya kifahari ya Balenciaga imetangaza inakuja na fashion new old ya kiatu aina ya Distressed paris converse. Hata hivyo pea zilizopo ni chache na hazizidi pea 100.
Kiatu hiki cha Distressed...
Hebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?
Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya...
Habari wajuvi, mimi ni mhanga wa vipele na muwasho kidevuni hapo awali nilikua nanyoa na kiwembe baada ya kunyoa hutokwa na vipele vingi sana hata kama nikitumia after shave
Nikashauriwa kutumia...
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Pamoja na mwanamke kuwa na urembo wa aina mbalimbali lakini pochi ni mojawapo. Kama mwanamke utavaa vizuri lakini kama hutabeba pochi nzuri unapoteza...
Habari zenu wakuu,Mara nyingi nimeona wanaume wengi wanachukizwa na nywele zinazoota kwenye kifua na tumbon( garden love)i.Hili likoje wadau na je kuna dawa yoyote ya kuweza kuondoa kabisa hizi...
Wataalamu na wasomi na wajuzi hivi kwa bongo hizi dawa zipo.
Watafiti tunaomba dawa ya kurudisha nguo ziwe mpya maana nakumbuka zamani tulivaa nguo hadi ichanike, ila sasa hivi hata ikipauka tu...
Uchafu sugu ni nini??
Uchafu sugu ni hali ya uchafu ulio na mwonekano wa rangi tofauti na asili ya sink na vigae ambayo haiwezii kuroka kwa urahisi
Hii ni changamoto ambayo inawasumbua watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.