Muongozo mzima wa kujaza mwili kwa muda mfupi kwa wale ambao wembamba sanaa mpaka wanaona kero wanahitaji kunenepa mwili kidogo (si kunenepa kwa kujaza mafuta na nyama uzembe) bali kuwa na mwili...
Kwa Jiji la DSM sasa hali ya hewa ni ya upepo mkali sasa mama zetu dada zetu ebu mjaribu kubadilika kidogo vaeni nguo za kuwastiri upepo ukija ushauri tu,,,😛😛😛
Nimepata taarifa kutoka kwa bwana mmoja aniambia nitumie kitunguu swaumu kwa kukiponda ponda kisha nisugue kwenye nywele zangu ambazo zimeanza kufifia kama upara kisha zitaanza kurudi.
Nipo...
Habari Wana JF niende kwenye mada
VITU VYAKUZINGATIA ILI USI ZEEKE HARAKA.
Punguza kula nyama kwa wingi. Punguza kunywa pombe Kali au acha kabisa hasa hunywaji wa pombe za kienyeji matumizi ya...
Nikiwa hi kununua kitanda cha soft wood, chaga zilikua nyepesi sana na kitanda kilivunjika.
Sikuhizi ni kheri ninunue kitanda cha mninga kwa milioni 2 lakini chaga ziwe imara.
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Kanga ni vazi lililotumiwa na wanawake wengi kipindi cha miaka ya nyuma. Vazi la kanga lilikuwa likitumiwa na wanawake wakiwa wanaenda mahali kama...
Nashindwa kuelewa ni Ungonjwa au Uchafu
Asubuh tu unakutana na mtu ananuka Jasho kama fisi la porini na amevaa smart kabisa ila ukipishana nae unaweza kuzimia
Unakutana na mtu smart kapendeza...
Jamani baadhi ya wanawake tena sio baadhi asilimia kubwa muoshe, mfue au muwe mnaanika mawigi yenu.
Kuna dada mbele yangu hpa ATM foleni wigi lake linatema balaa! Yaani nahisi halijafuliwa mwezi...
Habari wapenzi?
Nmekuwa nikiona mitandaoni watu wakiitangaza serum ya wix kuwa ni nzuri kwa kutoa mikunjo usoni, je kwa mliowahi kuitumia ni kweli inatoa mikunjo usoni ?
Nataka kwanza nipate...
There is a popular saying which goes thus; "dress the way you want to be addressed" as the way one is dressed, speaks about someone. In this era, time and age where decency has become a scarce...
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.
Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.
Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.
Sitaki kuamini nimefikia...
Moja kwa mbili kwenye mada:
1. USIPULIZE KWENYE NGOZI NA KUISUGUA:
Kwa nini?
*Kwa kusugua kwenye ngozi baada ya kupaka kutayafanya marashi yako yapotee (evaporate) kwa haraka zaidi kabla...
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Hivi ndivyo binti Noela alikuwa akisema...
Jamani yani nilivyo na karangi kangu kachungwa kanapendeza sana.
Wala sitaki mtu anisifie maana mimi najijua...
Kwa yeyote alie mtaalamu au anajua dawa nzuri ya kukuza na kuotesha nywele basi anipe maelekezo kichwa kinazidi kushika kasi ya kipala na bado kwa kwa sasa sijapendelea kua na kipara.
Nywele...
Wapo baadhi ya watu nimeona nywele zao zikiendelea kuimarika siku hadi siku baada ya kuathiriwa na Upara.
TID, huyu jamaa kuna kipindi alinyonyoka kabisa. Kipara kilikuwa kikionekana wazi wazi...
Habari wakuu
Mdogo wenu hapa nimekuja nahitaji msaada wenu, nimeanza kuota kiwalaza na hii inanipa stress sana ukizingatia na umri pia bado hauni ruhusu kumiliki vitu vya ajabu ajabu.
Najaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.