Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari zenu wapendwa? Naamini wote mko poa. yna2 Leo nimeamua kuwaletea somo la namna ya kutengeneza mafuta ya kujaza ndefu kwa wanaume (natural beard balm).Mafuta haya siyo kwamba yatajaza ndevu...
17 Reactions
153 Replies
29K Views
Kwa ajili ya: 1. Bendera 2. Sare 3. Combat Wangetafuta viatu na soksi sasa. Hongereni sana. Maendeleo hayana vyama!
4 Reactions
7 Replies
744 Views
Kwanini mmeamua kuvaa nguo za kubana tu?! Ndilo dukuduku langu. Si wake za watu, si mabinti, si wasichana wadogo si watoto wadogo wakike! si gauni, si blauz, si sketi, si suruali! Si kanisani...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za muda huu. Nakuja streatup kwenye mada hivi wazee wezangu mnawezaje kumaintain super black kichwani? Maana mimi kila nikipaka wiki 2 simalizi tayar ishapotea au nitumie nini wakuu...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Hivi creed aventus na olympea ipi ni nzuri na zina bei gani zile original?
4 Reactions
68 Replies
11K Views
Hawa dada zetu mbona kipindi cha mfungo ndiyo wanazidi kupendeza, uturi mavazi ya staha mashallah tukimaliza mfungo naoa
2 Reactions
6 Replies
993 Views
Swali kwenu wabobezi na watafiti wa hili jukwaa. Huwa una shave shamba la kufugia nywele/kubebea meno (I mean kichwa cha juu) kila baada ya muda gani? Ni wiki, wiki 2, mwezi au mwaka? Binafs...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Heshima Yenu Wakubwa! [emoji2321] Nije kwenye Mada Mimi ni kijana wa Miaka 21 now ,. sijui ni Tatizo ama zitachelewa kuota[emoji848] Sina ndevu! nazitaka kweli yan NIFANYE NINI?. natanguliza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉 Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha. Nikiwa...
11 Reactions
150 Replies
11K Views
Hivi saluni zikipigwa marufuku sura za wanawake zitaonekanaje mfano sura ya Mfalme Zumaridi inatisha akiwa rumande bila make up
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Jamani ,dah... Wanaume wanavaa kaputula fupi sanaa.. halafu wanatembea mchana kweupe kabisa na wake zao na watoto...hasa mikoa ya Pwani.
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Mjumbe hauwawi leo nagusa penyeweee. Sio wote ila 90% hii inawahusu. Nafanya kazi hii kwa niaba ya kutetea wanawake wanaokereka na vitabia vyenu vya ajabu, wengi wamekuja kwangu wakilalamika...
41 Reactions
323 Replies
58K Views
Habar wana JF ,et kati ya karume,ilala,na Tandika ni chimbo lipi lina nguo kali wanauza bei nafuu...?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu, mim ni binti wa miaka 27, jamani mwenzenu nashindwa kabisa kujikubali na kujiamini kutokana na umbo langu na watu wananisema sana, jambo linalonifanya nizidi kujiona sipo vizuri. Ni...
10 Reactions
65 Replies
7K Views
Hawa wadada wanakosa kujiamini tu, ila wakiwa bila make up, wanapendeza zaidi. Wengine hawajiamin wana fake sana. Vipi, wew wapenda ma make up? Wewe mdada unaweza toka out bila make up...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Leo nineona nishare na nyie jambo zuri la kutengeneza mafuta ya nywele asili kabisa. Faida zake, 1. Kuondoa mba 2. KUSAIDIA ukuaji Mzuri wa nywele 3. Kuongeza unadhifu wa nywele 4. KUSAIDIA...
4 Reactions
1 Replies
7K Views
Nilikuwa navaa saa mkono wa kushoto nilibadilisha baada ya kuona wanawake wengi wanavaa mkono huo niliamua kuvaa mkono wa kulia mpaka sasa. Sababu kubwa iliyonifanya nibadilike ni mpenzi wangu...
5 Reactions
65 Replies
13K Views
Mko poa walimbwende, Ngoja niwape darasa kidogo, kimsingi uvaaji wa nguo fupi kwa wanawake pia ni fasheni ya mjini nazungumzia gauni fupi,kimini au kikaptula(kichupi) ila nazungumzia zaidi vimini...
17 Reactions
274 Replies
107K Views
Hapo vip! Nimejiuliza sana hili swali muda mrefu, miaka na miaka ila nimekosa jibu sahihi. Wanawake wengi wa kiafrika wameamua kukana na kukataa asili yao na kuidharau kabisa tofauti na...
8 Reactions
41 Replies
5K Views
Habarini humu ndani. Nahitaji msaada kitu gani cha kutumia ili kurudisha lips katika rangi yake ya kawaida zimekua nyeusi mno Asanteni in advance.
2 Reactions
31 Replies
40K Views
Back
Top Bottom