Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habarini za asbh ndugu zangu,hongereni kwa kuiona week nyingine tena,kama kichwa kinavyojieleza nahitaji msaada wa picha za magauni ya vitenge hasa yanayowapendeza wanawake wembamba,hata kama...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanajukwaa naomba kujuzwa namna ya kuondoa huu weusi katikati ya mapaja maana unanikosesha haga Asnteni sana
0 Reactions
55 Replies
23K Views
Dah! Jamaa huyu jamaa hivi ni ubahili au nini? Mbona anavaa kishamba sana?
7 Reactions
50 Replies
11K Views
Ndugu watanashati, Kuna duka la Wahindi walijitanabaisha kama wakala wa clarks—walikuwa wanauza viatu vya brand hii pale Dar es Salaam jirani na mnazi mmoja. Huwezi amini ni mahali nimeshafika...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii poleni na msiba wa taifa... Kama mada inavyojieleza, ni ipo tiba ya m'ba kwenye ngozi, mimi nasumbuliwa na m'ba mara kwa mara. Yaani ni kama nina allerg ya ngozi, nikitumia dawa za...
1 Reactions
28 Replies
21K Views
Hello. Nawezaje kuondoa rangi kwenye meno na yakawa meupe kabisa? Nimeshasugua sana na mkaa ila bado
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari wakuu. Naweza pata wapi dawa ya kung'alisha meno tofuati na hizi Colgate na dawa nyingine. Kama kuna dawa nzuri. Msaada tafadhali.
2 Reactions
97 Replies
27K Views
Wadau kama mada inavyojieleza, Soon hapa nimepatwa na tatzo la chinusi za ajabu ajabu usoni nikaulizia dawa kwa sister angu mmoja akanambia n2mie tube flan hvi inaitwa GOLD TOUCH na imesaidia kwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimetumia dawa za aina nyingi na hizi tube zinapungua kidogo zen zinarudi sasa hivi ndio zimeongezeka msaada wenu hapo wakuu tiba ipi ni nzuri.
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Hii kitu kwangu naonaga "shoti" kweli unavaage viatu bila soksi? Unakuta mtu ameulamba suit na moka lakini hajavaa soksi. Huwa naona ni sawa na kuvaa suruali bila boksa.
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Wapendwa habari zenu, Nimegundua kuwa sipendezi kabisa kuvaa suruali na sketi fupi na magauni ya kubana kutokana na mwili wangu ,baada ya kugundua hili ninacomfidance ya kuvaa nguo za kumwaga...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari Wana JF Huu mjadala nimeukuta mahali, nikaona ni vyema nikauleta huku nishee mawazo yenu. Ni sahihi mwanaume kupaka manukato yenye kunukia sana? Ni sahihi mwanaume kuoga mara tatu kwa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Natumai mpo poa!; na wenyeshida poleni sana. Leo nimekutana na mmasai mmoja ananiambia anadawa ya mitishamba ya kuzuia ndevu kuota. Anadai unapaka mfano kwa kufuata kuliacha labda umbo la O vile...
0 Reactions
11 Replies
19K Views
Mtazame Rais wa Korea, Kim Jong-un katika majukumu yake ya kawaida, wadau tuijadili hii fasheni ya nguo zake alizovaa.
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo nimekutana na kituko cha mwaka aisee, nilikuwa maeneo ya Sinza napata chakula cha mchana ghafla jamaa akaja na mtu anakibeg mgongoni akakaa kwenye kitu huku wakiangaliana. Baada ya muda...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Jamani, nataka kujaua ni anti wrinkles products ipi nzuri kwa mwanaume
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Husika na maada,ukiangalia ni thread zangu nyingi katika jukwaa hili lilikua linauliza au kuzungumzia maswala yachunusi. Nilishauliwa mengi sana,,kwanza nilitumia (magadi soda) hii ilianza...
5 Reactions
33 Replies
10K Views
Kwasasa, Kwa Wanawake imekua ndio fashion ya mujini. Gym za mjini zimejaa mikanda na spring za kubana mapaja ili Wanawake waupate huo uwazi unaowavutia wengi. Wengine wamefika mbali zaidi kwa...
11 Reactions
269 Replies
39K Views
Habari za muda huu nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee super black haikai kabisa kichwani wiki 1 tu yote ishaisha nipeni muongozo
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
4 Reactions
100 Replies
44K Views
Back
Top Bottom