Habari wana JF
Hebu tupeane uzoefu wa mambo ya fashion kuhusu vifungo vya shati kukaa mkono wa kushoto au wa kula.
Kuna ukweli wowote kwamba vifungo vikikaa mkono wa kilia ni shati la kiume na...
Wana Jf habari za muda huu,
Bhana nimesagula viwalo vyangu mnadani ila kila nikivifua harufu ya mtumba haiishi.
Nimetumia sabuni kama aerial, Omo, jamaa ila wapi kitu hakitoki.
Naombeni...
Habari, Nimekutana na jamaa angu ananiambia kwa asilimia 70 ya mafuta ya olive oil tunayonunua ni fake, Tafadhari naomba kupata mwongozo ni wapi ambapo nitapata Olive oil pure.
Ndugu wanaJF
Kuna umuhimu wa kuogea sabuni yenye harufu nzuri tena ambayo mpenz wako anaipenda, ama waweza kuogea sabuni yoyote hata Omo ilimradi uwe umeoga?
Nimeuliza hivi kwasababu sabuni...
Habari wapendwa,,
Kati ya vitu ambavyo binadamu analazimika kutumiakila siku Ni mafuta ya kujipaka.
Katika uhitaji huu, wafanyabiashara nao wamekukuwa wakibuni aina mbalimbali za mafuta ya...
Niajabu waswahili tunatabia kufua chupi kwa siri yale maji ya mwishoo bafuni. baada ya kuoga afu tunaenda kuanika hadharani kama chupi ni siri sirini kwanini baada kuifua utuonyeshe anika chimbo...
Habari wakuu
Mimi binafsi swala la ndevu naliona kama kero, nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili asiewe na ndevu .
Kuna muda ndevu zinanipotezea muda, zinaharibu mwonekano...
Hello guys!
Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote?
Asili ya...
1.KUZUIA MAGONJWA YA NGOZI MIGUUNI.
Tumia sekunde tatu tu kuvaa soksi na ujikinge na maradhi haya ya fungus na bacteria, kama sio mpenzi was soksi nashauri ufikirie tena maamuzi yako ya kutovaa...
Wimbi kubwa la wanawake wanaopenda kunyoa nywele zao kwa mitindo kama ya wanaume limezidi kuongezeka na pia Saluni nyingi za kiume zimedaiwa kushindwa kuwanyoa vizuri wanawake na kuhakikisha...
Aseh hv ulishawai kutana na mwanamke usiku ile rangi yake ya weupe ikakuvutia ilee paaap unakutana nae asubuh huamin macho yako vidole vyeusiiiiiiii yan anatisha vidole vya mikononi mpk...
Kama ilivyo kawaida kwamba binadamu tupo tofauti socially, economically, physically, in religion na pia in cultural tupo tofauti. Kwa maana hiyo mionekano yetu inaweza ikasababisha mtu aijue tabia...
Naomba kuuliza kuna madhara ya kunyoa nywele za kifuani na kitovuni au tumboni maarufu kama garden love? Maana naona zinanizidi kiwango na zinakua ndefu unajua nywele singa yani zinakuwa ndefu...
Mavazi ya juu ya mavazi ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi
Ili kuwa na maoni mazuri, lakini angalia mtaalamu na mtindo, angalia mavazi haya ya mavazi ya wanaume ambayo ni bora kwa...
Ngoja niwaambie kitu sisi wanadamu uwa tuna bacteria mdomon wao uwa wanafanya mdomo uwe na harufu kali sana na kama unatumia dawa za meno za kawaida niamin una herufu sana mdomon na mimi nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.