Ninajamaa angu anaishangaza sana, akiwa na kideti na demu huwa anavaa shanga zile za kimasai na moja ya cheni kiunoni, nikamuuliza anavaa ili iweje
Nanukuu ''Ukimpiga demu ukiwa umevaa shanga...
Habar za wakat uu mim ni mshaur wa maswala mazima ya fashion and life style leo napenda kuongelea leather jacket iz ni jacket ambazo kwa mwanaume yoyote kwenye collection yanguo zako nakushaur uwe...
Pesa na muonekano ni vitu viwili vinavyokwenda pamoja(perfect combination) kwa hiyo wale wakali wa hizi kazi tupeane tips na trending style ili tuweze kutunza vibanda vyetu vya kichwani.
Vitu vya...
Kuna mtindo umeingia hivi Sasa hapa mjini wa wadada kutengeneza shepu na kupungiza tumbo kwa kufunga mikanda tumboni.
Mtindo huu siyo mzuri ndugu zanguni maana mikanda hii inabana sana tumbo...
Hello wapendwa kama kama kichwa kinavojieeleza mara nyingi mekuwa nikijaribu kutengeneza waxing lakin nafeli yan inakuwa ngumu kama gundi,msaada wapendwa napenda fanya hii kitu lakini nafeli!
Hivi naomba kujuzwa faida za mwanaume kuvaa boxer na hasara za kutokuvaa kwa maana naona kama kero ukivaa inayotight dushe inabanwa sana korodani ndio usiseme ukivaa yakuachia space dushe...
Wakuu wana JF,
Poleni kwa majuku ya kila siku.
Naombeni ushauri wenu, nimehamia hapa DSM na kuanza maisha, takribani week imepita. Nilijibanza kwa ndugu sasa nimepata vyumba 2 ambavyo ndo...
Olives are a wonderful fruit native to Mediterranean Europe. They are also cultivated in many other regions of the world nowadays. Some of these including North and South America, South Africa...
Wife ngozi yake ni delicate sana. Vitu vya jamii ya chuma vinamdhuru kwa kuwashwa na kuota vipele. Poda yenyewe inamsababishia chunusi. Kwa sasa hatumii mafuta yoyote hasa usoni kwani ngozi yake...
Wadau wa JF
Hamjamboni?
Kwa muda mrefu nimejitahidi sana kuwa na muonekano wenye moustache bila mafanikio.
Umri wangu kwa sasa unasonga mbele kwa kasi lakini sijona mafanikio yeyote zaidi ya...
Samahani wadau wenzangu, natambua kuna uzi wa pafyumu mbalimbali humu lakini nilivyoupitia nimeona nyingi za mle ni bei kali. Wengine sisi walamba nyau kumudu ni kazi.
Ombi langu kwenu ni aina...
Mavazi ya juu ya mavazi ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi
Ili kuwa na maoni mazuri, lakini angalia mtaalamu na mtindo, angalia mavazi haya ya mavazi ya wanaume ambayo ni bora kwa...
If you struggle with skin discolorations, blemishes, they can be evened out, here's how to do it naturally.
A lot of ladies feel the need to
For some, the desire to have even skin tone is a...
Habari zenu?
Mashoga wengi huku Temeke wanavaa pensi za jinzi .
Mara nyingi hizi pensi zao zinakuwa na sifa zifuatazo;
- Fupi (hazivuki magoti)
- Zinabana mwili
- Zimetoboka au kuchanika...
Tango ni tunda lenye utajiri mkubwa sana wa Silicon na Sulphur ambazo huhitajika kuboresha afya ya ngozi, kucha na nywele.
Ni tunda ambalo halipaswi kukosa ndani kwa mtu yeyote anayependa urembo!
Wakuu Nimeacha Kidogo mazoezi ya Kukimbia kwani Yanakondesha sana na Sasa nataka Nijaze Mikono, Six packs na Miguu. Mtu unanunua saa ya 700,000 halafu unapunguza Mkanda wake wa Silver siku Mmoja...
Kam uzi unavojielez nimetokea kuvutiw na tatoo na nahitaj kuchora iwe simple simple tu nilikua nahitaj kujua maeneo gan nawez kupat mchoraj mi nip kimara na gharam zake zikoje zikoje
Naomba kufahamu kuwa ni kweli kuna sabuni ya maji ya kuogea? Kama ipo je unaitumiaje kuogea?
Unajipaka, unajimiminia au unachanganya ndani ya maji? Kama unatumia Bomba la mvua la kuogea inakuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.