Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kuna pamba unaziona mtu kavaa town unajiuliza hivi wanazitoa wapi? Mfano mimi natafuta full jeans nyeusi nimeulizia nimeshindwa ukiingia ebay manguo mabayaaaa, huwa naopti mtumba grade 1 nawapa...
0 Reactions
35 Replies
12K Views
Mimi ni mrefu,handsome,nina asili ya ushombe flani hivi,mweupe ila sio body builder nivaage nguo gani niwe much attractive comment yoyote ile ambayo mtu mwenye sifa hizo hua anapendeza sana...
0 Reactions
55 Replies
45K Views
Habari za midaa hii? Nina swali kidogo kwenu dada zangu, Je nina mwanaume gani alikwambia anapenda/ama anapendezwa na nitakavyoviorodhesha? Kutoga masikio zaidi ya tundu moja, Kutoga pua, Kutoga...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Hello rafiki. Uzito uliokithiri umekua challenge katika kizazi chetu cha leo. Kumekuwa na njia mbalimbali za kupunguza uzito zingine kwa fad diets na zingine za long term plans. Mojawapo ya njia...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Binafsi sijawahi kuacha nywele zikuwe. Maana ni zile nywele flan hivi wenyewe wanaita kipilipili. Aisee ukiziacha wiki mbili zinakuwa kama unga wa sumaku[emoji1]. Halafu ukizingatia sijawahi...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Hellen Mirren Jeniffer Lopez Heid Klum Lady Kitty Spencer and Emma Weymouth
3 Reactions
0 Replies
556 Views
Jamani kuna ndugu yangu anateseka sana na kitambi amejaribu kunywa whisky za aina yote akiamini atapunguza kitambi jawabu -ve...kwenu wapendwa...afya bora kwa kila mtanzania... Apunguze kula...
2 Reactions
1K Replies
471K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, Meno yangu ya chini yameoza yaani chini ya meno yanakama ukungu,sasa naona yananiletea show mbaya wakati wa kuongea na kucheka, nataka kuweza ya bandia, je ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Binafs nimekua nikipigilia pamba kwa muda mrefu sn Ila nataka ni punguze miondoko ya jeans na kujikita zaid kwenye style hii kwaajil ya kuweka status yangu vizuri zaidi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nikakutana na duka moja la perfume na vipodozi , nikaingia kwaajil ya kuchukua mahitaji yang , sasa kuangaza nikaona perfume ya Hugo boss na bleu de chanel nikaomba anitolee...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za mda huu naomba kujuzwa jina la hivi vitambaa amabyo black Americans wengi wanapendelea kuviaaa na kwahapa dar ntavipatia wapi na vinauzwa shingapi.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nawasalim Moja kwa moja kwenye mada, nimejaribu kuchunguza kwa muda mrefu mabafu ya ke, unakuta miswaki mingi kweli, imewekwa. Mwanzo nilijua labda ya kuswakia, lakini nilikuja kukataa hoja hiyo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania, Wapendwa naomba msaada wa kujua foundation powder nzuri kwa sie wenye ngozi za kiafrika,gharama zake na sehemu nayoweza kupata bidhaa hiyo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu Naomba kujua ubora wa hizo product mbili nataka kuchagua moja nijaribu. Ngoz yangu ina mafuta
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Nauliza tu. Je, bei gani kunyoa style ya kawaida tu. Na.. Naona mtandaoni wanatupia picha za warembo wamenyolewa je wananyoa na wanaume au? Nakuja Dar karibuni, sehemu nilizopanga kutembelea...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Binafsi nakerwa sana na Wanawake wenye tabia ya kuvaa wigs kichwani au kushonea nywele za bandia. Hii ni tabia ambayo kwakweli mimi huwa siipendi kabisa na huwa namwona Mwanamke wa namna hiyo kuwa...
15 Reactions
67 Replies
20K Views
Naomba wanawake mnijibu swali langu, hasa kwa wale mnao weka kucha za bandia halafu ndefu kupitiliza je? Mnafanyaje usafi kwa bibi na hayo makucha marefu vile?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi niwe mkweli, nikiwa hostel nabadilisha mara 1 kwa week. Kla jumapili nabadilisha. Nikiwa nyumban nakutaga tu mama amebadilisha. Sijui huwa anabadilisha mara ngapi 🤷 Kna huyu dada roommate...
1 Reactions
99 Replies
11K Views
Wadau naomba kujua nawezaje kukomesha kipilipili au kama kuna mafuta mazuri ya nywele ni yapi msaada tafadhali
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Back
Top Bottom