Habarin wana jamvi la mitindo na utanashati.
Baada ya miaka10, nimekutana na suruali yangu aina ya dickies..suruali niliyohifadhi katika bag la nguo ambazo hazitumik kwa muda mrefu sanaaaa leo...
Salaam wakuu na hongereni kwa kushiriki vita ya kuitokomeza corona
Katika kuweka mwili fiti nimeona Kuna mazoezi mawili yasiyohitaji eneo kubwa, na hata chumbani unaweza kuyafanya, nayo Ni...
Habari jf
Nahitaji msaada wenu wa jinsi ya kutengeneza lotion zile wanaita za kudamshi, lengo hasa ni kwa ajili ya ujasiriamali..nitashukuru endapo atajitokeza mtu na kunifundisha..please
Habarini ndugu poleni na majukumu na Heri ya Mwendelezo Wa sikukuu.
Wakuu Nilikua naomba ushauri na design kuhusiana na ujenzi wa Gym ya watu kufanya cardio exercise
Asanteni Sana Wakuu.
Miswaki ya siku hizi haina ubora kiukweli.
Mi ni mtu nazingatia sana usafi wa kinywa ila naangushwa na miswaki ya siku hizi, Whitedent ndo ilikuaga miswaki yangu bora ila naona nao wameanza...
Helo guyz naiman hapa ni jukwaa la lenye watu wengi wa kada tofauti na ujuzi tofauti ilatunashea ujuzi wa kisayansi na kiteknolojia apa.
Ninahitaji kupewa ushauri / kupewa mchanganuo pia wa...
Direct to the point, nataka kujua tu kwa uzoefu wenu wana JF hasa katika jukwaa hili la Urembo.
Naomba kujua kati ya body spray na roll-on deodorant ipi inafaa kwa matumizi zaidi nyingine...
Ukienda saloon foleni ya wanaume wanaosuka corn row, extension, na weaving ni kubwa kuliko wanawake. Wengine hushinda hapo wakifanyiwa manicure na pedicure.
Wanaume hawa wamekua washauri wetu...
Kuna mabadiliko makubwa sana ya kasi katika tasnia ya mavazi hasa kwa mabrazameni na wadada wa kisasa.
Mavazi yanafanana kwa ukaribu sana kiasi kwamba inanipa tabu kujua jinsia hadi niangalie...
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart...
Tangu 2015 nlikua na ndoto za kumiliki creed Aventus kwasab niko addicted na mambo ya unyunyu, hatimae baada ya kushinda betting wiki iliyopita nimefanikisha ndoto yangu ya kumiliki unyunyu wa...
Bir erkek olarak kişisel bakımıma nasıl başlamalıyım, ne kullanmalıyım, bilgili ve yardımcı olabilecek biri olursa sevinirim :)
Kusursuz bir cilt için hangi kremi kullanmalıyım?
habarin za muda huu... nije kwenye mada tajwa hapo juu hivi ni kwel hizi dawa za kuotesha ndevu zinafanya kazi kwa waliowahi kuzitumia tupeni mrejesho
NAWASILISHA
Kuna nyumba niliingia hivi karibuni dah ilikuwa ina nukia harufu nzuri ajabu
Nimejikuta niko curious na nini hasa wanatumia hadi nyumba inanukia vile
Nilishindwa kuuliza sababu kilichonipeleka...
Wakuu habarini
Naombeni msaada wa mafuta mazur ya nywele ambayo yatanisaidia kurefusha nywele na kuzfanya ziwe nyeusi na muonekano mzuri wa kuvutia maana wengine tuna nywele za vipili pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.