Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Huwa nashangaa sana mwanamke anaenuka kikwapa. Kwa kifupi kikwapa ni uchafu na mwanamke anaenuka kikwapa ni mchafu. Kuna njia nyingi za kuzuia harufu ya kwapa. Kupaka deodorant ni njia easy...
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Suala la kuvaa kipindi kwa pwani ni suala la kawaida na urembo, Pwani, Tanga ni jambo la kawaida. Tatizo watu wa bara wana mtazamo finyu wa utofauti wa jamii, mtu ametoa huko anakuja anakuta watu...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Mwamba kama mnavyomuona unaweza fika benki wakakuachia kiti umalizie kuhesabu pesa. Hana longo longo Njoo na mpinzani unayeweza kudhani atamtoa kwenye (low price high value 💪character)
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana ndugu, Binafsi niko njema japo kuna mwana kajua kuniharibia siku aisee! Iko hivi, nimepita Barbershop [emoji610] mahali kurekebisha nywele, as usual na siyo mara ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani hapa nataka nifumue ila hela yangu inauma, lakini naumia kila upande haufai kwa kulala, yaani nikilalia paji la uso ndo naona afadhali. Usiku wa leo ukiisha sitakaa kusuka tena nywele za...
6 Reactions
108 Replies
5K Views
Kiukwel hawa dada zangu wa mjin wanaojikoboa usoni afu wanasahau sehem za ndan yaan unakuta akivua unaona rangi mchanganyo km vile upinde wa mvua shenz sana. Ni moja ya kundi la wadada ambao me...
2 Reactions
84 Replies
10K Views
Naumia mno, siyo kwamba nakataliwa, la, ila nakuwa insecure kiasi fulani. Nywele zangu ni nyekundu sana, na sifahamu bado ni dawa gani ninaweza tumia. Super blacks situmii na hata kuzisikia...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana. Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kiatu rangi nyeusi, mkanda mweusi, kiatu rangi ya kahawia na mkanda wa kahawia, kiatu rangi ya kahawa na mkanda rangi ya kahawa. Mwanaume ukivaa mkanda ukafanana na kiatu halafu umechomekea...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Inasikitisha sana kwamba wanawake wa sasa hivi hakuna tofauti kati ya wa duniani na wa Kanisani. Wengi wao wamekuwa ni kama malaya wanaojitongozesha kila sehemu. Hii imetokana na uvaaji wa...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, hivi ni wapi nitapata pete halisi (original) ya dhahabu kwa gharama isiyozidi milioni moja? Napenda sana kuvaa pete nzuri, ndiyo urembo wangu.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari Wadau! Naomba mnishauri mafuta mazuri ya kiume kwa ngozi ya mafuta... Asanteni sanaa
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Nimekuwa nikienda duka moja la Sonara Posta. Kuna dada mmoja shombe shombe mzuri sana nimekuwa interested naye. Kwa kweli hata yeye ameonekana kupenda style yangu. Hasa ya kupiga Para. Nakumbuka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Ni wapi naweza kupata uniform kama hizo, au ni wapi naweza kushona uniform kama hizo za air hostess wa Qatar Airways ikiwa na kofia yake? nimezipenda nahitaji ya kike moja kwa kazi fulani...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Nina jeans zangu zilikuwa zinapauka na kuchuja nikizifua nyumbani kwa sabuni za mche za jamaa na sabuni za unga hizi tunazonunua maduka ya mangi. Sasa nimeanza kuzipeleka kwa dry cleaner wa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini waungwana humu ndani. Ninaomba kujua zaidi kuhusu serum na matumizi yake. Je, hazina madhara? Na ipi ni serum nzuri kwa matumizi ya usoni tu? Nataka nitafute serum kwa ajili ya usoni...
1 Reactions
6 Replies
16K Views
Habari wadau, Mimi kiasili nina ngozi nyeupe lakini hivi karibuni ngozi yangu ya usoni imeanza kupotea hivi, imekuwa kama maji ya kunde hivi, wakati kwingine kote imebaki kuwa ngozi yangu...
2 Reactions
64 Replies
19K Views
Hello wapendwa, Najua kila mwanamke/msichana ana aina ya lotion yake anayopenda, na kati ya hizo kuna ambazo zinazouliziwa na kununuliwa sana kutokana ubora wake, bei yake, matokeo yake, n.k...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari Wana JF Nauliza mafuta gani au tiba mbadala au njia gani inafaa tumiwa kwa mtu anayefanya kazi juani(sun rays) muda mrefu ili kutunza afya ya ngozi? ============ Ngozi ya mwanadamu...
1 Reactions
241 Replies
84K Views
Nataka msaada wa kujua ni aina gani ya mashine za kunyolea nywele zenye ubora na zenye kudumu kwa mda mrefu, kama unajua na bei yake na sehemu zinapopatikana ningependa nisaidiwe, lengo langu ni...
2 Reactions
37 Replies
34K Views
Back
Top Bottom