Hawa jamaa wapo huku social media nyingine x,Facebook, instagram wanakwenda kwa Jina la dinya smart wanauza nguo kali vibaya mno (na we unaweza kupitia huko social media accounts zao ujionee )...
Hivi wadau kwa hapa Dar es Salaam naweza pata wapi sehemu ambapo wananyoa kwa ustadi nywele hasa za kifuani, kwapani na sehemu za siri.
Mara nyingi nikijinyoa mwenyewe ninatokea kujichana au...
Jamani sisi wanaume tumechoka kutafuta affordable decent clothes, shoes, bags even designer clothes. It seems watu wanawaza wanawake tu wakidhani hao ndio wakuvaa nguo tu na kupendeza sisi tuwe...
Huu ni mshono wa wanaume au wakike na sababu gani uliitwa hivyo? Wabobezi wa historia mnaweza kutusaidia.
Kaunda suti najua ni sababu ya Rais wa Zambia ambao itakuwa sana na chunlai.
Wanaume kuvaa visuruali vya kuwabana, inamaanisha nini? tunajua wadada huvaa vinguo vya kuwabana ili kuwaonesha wanaume maumbile yao; je, mwanaume naye huwa ana lengo lipi?
Nasema hivi...
Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo...
Nimekuwa nanyoa ndevu mara kwa mara kwakuwa kibarua changu hakiruhusu kuwa na ndevu. Sasa nimeanza kutokewa na weusi.
Nini nifanye ili nisiwe na weusi baada ya kunyoa ndevu? Naombeni mbinu
Natumia Black shine ila sio kivile, once per month mpaka miwil/mitatu.
Shampoo ndo natumia mara nyingi.
Nimejaribu kufikilia shida itakua ni nini sijapata.
Pia nfanyeje wanandugu maana mpaka...
Mnakamia sana make up hadi mnageuka kituko. Mnasiliba mno hadi inakuwa kituko.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Shogangu sawa humudu make up ya kisasa, si utafute tu hata poda ya kuendana na ngozi...
Wakuu,
Kuna hii taarifa hapa na hata jana tu simesikia, dada kaweka nywele zake dawa akisema akichoka kuwa na nywele hizo zenye dawa basi ataziosha kwa kutumia kinywaji cha Coca-Cola na nyele...
Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini.
Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊
Natanguliza Shukrani
Chakorii 🤸♀️🤸♀️
Habarini wakuu, nilianza kusumbuliwa na chunusi Toka nikiwa form one 2009, chunusi zikaisha 2018 lakini baada ya hapo nimebaki na mabaka usoni hadi kupiga picha naogopa.
Nilikuja hapa nikapewa...
Habari wanajamii forums,
Kwa wale wataalamu wa ngozi nilikuwa naomba kufahamishwa ni kitu gani ninaweza kutumia ili kulainisha ngozi ya mikono?
Maana ni sehemu pekee imekuwa na ngozi kavu na...
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Nasema na wewe dada /kaka ambaye unapenda kuvaa nguo nyeupe ila mchafu...
Najua unapenda nguo nyeupe Ile wewe mchafu hazikupendi...
Unalazimisha Nini...
Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana.
Yani ni mayai sijui mnajimwagia..
Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa...
My Take
Toa Kenya,Ghana na Zimbabwe Kwenye list weka Eritrea,Burundi na Madagascar
https://twitter.com/zoomafrika1/status/1695778429856014649?t=jggqQmSCeSPS5NYzHq9MxA&s=19
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kumekuwa na fashoni ya kunyoa nywele kwa wanawake na wadada.
Yaani wananyoa halafu wanapaka na bleach kwenye nywele.
Wanaopendeza sana...
- Mwanaume usijimalize kama yule jamaa wa Mwanza, ni ujinga lakini tutaendelea kuelimishana
- Mwanaume ukijipenda...
Mwaka 2013 TV one palikuwa na kipindi kinaitwa Boys Boys kilichokuwa...
Hbr zenu wandugu, hope mko poa.
Mimi ni maji ya kunde kidogo na my skin is a little bit dry kwa sasa nataka nianze kupaka palmers body cream and oil pamoja na face cream yake.
Kwa anaye yajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.