Serpenti Sedutori (Nyoka atongozaye) ndio saa inayovuma saa hizi mtandaoni popote Tanzania na East Africa, gharama yake ikiwa ni dollar za kimarekani 44,200, takribani shilingi za kitanzania...
Habari wanaJF,
Nimeona ni vema leo tukajuzana namna ya kufunga tai kwasababau nimekutana na wadau kibao wanakwambia hawavai tai eti kwasababu hawajui kufunga, pia hata akina dada nivema mkajua...
Nimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara...
Habari wakuu!,
Nina rafiki yangu ambaye ni Mzungu anaishi Dar na anataka kunyoa nywele zake, amejaribu saluni kadhaa ila hawajamnyoa vizuri.
Kwa anayejua saluni wanaoweza kunyoa vizuri nywele za...
Mbinu gani naweza kutumia ili kuridisha nywele zangu.
Watu waliniambia nitakuwa na upara lakini ni kitu sikujali sana, saiv naona kabisa nina upara.
Mwenye mbinu yeyote anawezakusaidia kurudisha...
Habari wakuu,
Kama heading inavyoeleza hapo juu, nataka kufanya research binafsi ili nione kama kuna kipya katika matumizi na gharama zetu katika maisha yetu ya kila siku, Nikisema kipya ni kujua...
Sijawahi kutumia hizo makitu sasa nashawishika nijaribu so Ningependa kujua kama hizo cream za kuondoa nywele za makwapani, ndevu ama sehemu za siri sina side effects yoyote?
Kuna lotion niliyokuwa naitumia first time ilinikubali sana nikawa mweupe kama mwarabu, kopo liliisha nikanunua jingine sasa hii ya mara ya pili ndo imenikataa kabisa yaani nimekuwa mweusi mpaka...
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.
Sio mkaka unanuka mijasho all...
Habari wakuu,
Au nasema uongo ndugu zangu...
Mwanamke nywele bana, yaani unywele alafu wa kwake sio fekero.
Mtoto anaachia unywele unashuka mpaka kwa mgongo jamani.
Nywele nzuri safi...
Utafiti uliofanyika Uingereza Mwaka 2022 umeonesha Takriban nusu ya wanaume ambao hawajaoa walisema hawafui shuka zao hadi miezi minne hivi kwa wakati mmoja, huku 12% wakikiri kuwa wanazifua...
Watanashati mpo?
Angalia hapa njia mbalimbali za kukufunza jinsi ya kukunja nguo. Hii ni nzuri sana hasa ukiwa na nafasi ndogo ya kuweka nguo na hata muda wa kusafiri, inafanya ndio zako...
Leo tarehe 1/1/2024
Nimenyoa dongo na kujiapiza kuwa sitanyoa nywele zangu
Napenda sana kuwa na Rasta lakini nimekuwa nikipata upinzani kutoka kwa mke wangu, ndugu na baadhi ya wanajamii hivo...
Habari 🖐 🖐 🖐
Kuna jambo naomba mnishauri, najua kuna watu humu mnajua mawili matatu kuhusu nywele.
Mm nywele zangu kwa sasa zipo level hii(picha hapo chini) baada ya kuacha kunyoa takribani...
Salaam!
Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya.
Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively.....
Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na...
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.
Nawaza kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.